Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 39,415
- 25,437
- Thread starter
-
- #41
Acha ujinga dogo .utapigwa ban tenaAmekumbukwa amepata kibarua cha muda kwenye uboreshaji wa daftari la wapiga kura ndiyo maana siku hizi yale mashudu yake yamepungua humu.
Acha mbwembwe wewe. Nyinyi mnaosababisha bodi ya mkopo ya elimu ya juu kutupa pesa kusomesha watu kama nyinyiKAA KIMYA. Ulitaka amteue Lema au Mbowe?
Sijali. Ukipigwa wewe utakufa njaa maana unashibia humu JFAcha ujinga dogo .utapigwa ban tena
Sema Assad angekuwa mwenyekiti wa hyo tume na pia baadhi ya wawalilishi wa wafanyabihashara wangejumuishwa.Prof. Assad angewekwa hapo kwenye Kodi badala ya Ombeni Sefue
Lucas Mwashambwa angalau apewe Ukatibu tawala Wilaya
Tume inafanya kazi kwa pamoja ndugu yangu.kwa hiyo mawazo ya kila mtu yatazingatiwa na kufanyiwa kazi.Sema Assad angekuwa mwenyekiti wa hyo tume na pia baadhi ya wawalilishi wa wafanyabihashara wangejumuishwa.
hii ni Leaders club tu, askari waliopigana vita vya pili vya duniaSefue ana uzoefu gani wa masuala ya kodi
Sasa wewe endelea na ujinga wako uone kama hujapigwa ban Nzito mpaka upoteze fahamu.Sijali. Ukipigwa wewe utakufa njaa maana unashibia humu JF
Jifunze kuwa na busara na hekima.Nani ateue headless chicken hiyo?
Nani kakudanganya hivyo.hii ni Leaders club tu, askari waliopigana vita vya pili vya dunia