Rais Samia afanya uteuzi Huu

Kuna siku Dr. Bashiru na wale wote waliopinga huyu bibi kuwa rais watatunukiwa nishani ya taifa ya heshima.
Mwaka huu wivu wako na chuki binafsi kwa Mheshimiwa Rais wetu mpendwa zitakuua. Rais wetu tunaye na tunaendelea kutamba naye hadi 2030
 
Hujawahi kuwa na akili
 
Kwa hivyo hii nchi ina ongozwa na tume kila mahali.
Sasa kazi ya wizara ya fedha ina majukumu gani?
Piga chini waziri.
 
 
Kwa hivyo hii nchi ina ongozwa na tume kila mahali.
Sasa kazi ya wizara ya fedha ina majukumu gani?
Piga chini waziri.
Tume itatoa mapendekezo ambayo yatapaswa kutekelezwa na wizara ya Fedha.Ndio maana unaona tume hiyo imesheheni watu wenye uzoefu na ubobezi katika masuala mbalimbali ya kifedha na sheria.
 
Kabla ya serikali kuanza kushughulika na utitiri wa kodi, mfumo wa kodi, aina za kodi n.k, inapaswa iweke msingi kwenye mambo haya:

1. Kama nchi tupunguze utegemezi na tuongeze uzalishaji kwa kujenga viwanda.

2. Nchi ijenge mazingira ya kujenga uwezo nguvu kazi kujiajiri.

3. Kuongeza uwezo wa matumizi ya ICT kuepuka rushwa.

4. Kufuatilia vyanzo vya mali na fedha vya watumishi wake, wengi ni wala rushwa.
 
Si kwa ubaya ila Tanzania Kuna Kamati na tume Nyingi ambazo hakuna ufanisi kabisa wa hizo kazi. Kila kitu kinaundiwa Kamati na tume. Hii issue ya kodi nadhani Waziri mkuu aliunda Kamati akawapoza wafanyabiashara ila hakuna kilichotendeka, tume yabkurekebisha Sheria, tume ya haki za binadamu, Kikosi kazi Cha katiba, Kamati ya nini sijui, tume ya haki jinai, tume ya Kodi, tume, tume, tume ila implementation tu ni ZERO
 
Prof. Assad angewekwa hapo kwenye Kodi badala ya Ombeni Sefue

Lucas Mwashambwa angalau apewe Ukatibu tawala Wilaya
Amekumbukwa amepata kibarua cha muda kwenye uboreshaji wa daftari la wapiga kura ndiyo maana siku hizi yale mashudu yake yamepungua humu.
 
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia.

We jamaa kichwani kwema kweli?
 
Hayo yote yanafanywa vyema sana na serikali ya Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…