Rais Samia achangia milioni 100 ujenzi wa makumbusho ya Hayati Magufuli

Mawele

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
354
Reaction score
1,042
1773902303406.png

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa Tsh. Milioni 100 ili zikamilishe Ujenzi wa Makumbusho ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli yaliyopo Chato Mkoani Geita.

Makamu wa Rais wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema hayo leo March 17,2026 wakati akiongea kwenye Kumbukumbu ya Miaka Mitano ya Hayati Dkt. Magufuli.

“Kwa kutambua na kuenzi mchango wa Hayati John Pombe Magufuli, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amekuwa akifuatilia kwa karibu Ujenzi wa Makumbusho yake hapa Chato, Mh. Rais ametaarifiwa kwamba ili Uenzi wa Makumbusho ya Hayati Magufuli ukamilike zimepungua Tsh. milioni 100, nafurahi kuwajulisha kuwa Mh. Rais ameamua kutoa fedha hizo zote ili kukamilisha kazi hiyo”

Pis soma: Makonda amuomba Mabeyo amuwakilishe siku ya kumbukizi ya Hayati Magufuli
 
M

Misaada imekatwa,bado yeye anachezea pesa!
 
Back
Top Bottom