Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina, amevunja serikali yake Septemba 29, 2025 kufuatia kuongezeka kwa maandamano yanayoongozwa na vijana dhidi ya uhaba mkubwa wa maji na umeme. Umoja wa Mataifa umethibitisha kuwa mgogoro huo umesababisha vifo vya watu 22 na zaidi ya 100 kujeruhiwa, katika kile kinachotajwa kama changamoto kubwa zaidi kwa utawala wake
Maandamano hayo, ambayo sasa yameingia siku ya tatu, yamechochewa na hasira za wananchi kuhusu mgao wa umeme na maji unaodumu kwa zaidi ya saa 12. Waandamanaji wanatumia mbinu za harakati za vijana za kimataifa, wakihamasishwa na mafanikio ya harakati za “Gen Z” nchini Kenya na Nepal
Katika hotuba yake iliyorushwa moja kwa moja kupitia televisheni, Rais Rajoelina alionyesha msimamo wa upole, akisema: “Ninaelewa hasira, huzuni na changamoto... Nimesikia kilio, nimehisi maumivu.” Aliomba msamaha endapo viongozi wake wameshindwa kutimiza wajibu wao na akaahidi msaada kwa wafanyabiashara walioathiriwa na uporaji.
Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imethibitisha kuwa vifo na majeruhi yametokana na hatua za vyombo vya usalama pamoja na ghasia na uporaji uliofanywa na makundi ya wahuni. Hata hivyo, wizara ya mambo ya nje ya Madagascar ilikanusha takwimu hizo, ikizitaja kuwa ni “uvumi na taarifa zisizo sahihi.”
Jumatatu, polisi walitumia mabomu ya machozi kuwatawanya waandamanaji waliokusanyika katika chuo kikuu na kujaribu kuelekea katikati ya jiji, licha ya kuwepo kwa amri ya kutotoka nje kuanzia jioni hadi alfajiri iliyotangazwa wiki iliyopita
Vijana wa Madagascar wameiga mbinu za maandamano kutoka mataifa mengine, wakipeperusha bendera ya maandamano inayofanana na ile iliyotumika Nepal—ambako maandamano yalipelekea kuondolewa kwa waziri mkuu hivi karibuni na pia kutumia mbinu za uratibu mtandaoni zilizoshuhudiwa kwenye maandamano ya kupinga kodi nchini Kenya.
Hali hii inaashiria sura mpya ya uanaharakati unaoongozwa na kizazi cha kidijitali nchini humo
Madagascar president dissolves government following deadly protests
Madagascar President Andry Rajoelina said on Monday he was dissolving the government following youth-led protests over water and power cuts in which the United Nations says at least 22 people have been killed and more than 100 injured.
Inspired by the so-called 'Gen Z' protests in Kenya and Nepal, the three days of demonstrations are the largest the Indian Ocean island has seen in years, and the most serious challenge Rajoelina has faced since his re-election in 2023.
"We acknowledge and apologise if members of the government have not carried out the tasks assigned to them," Rajoelina said in speech on state broadcaster Televiziona Malagasy (TVM).
The president said he wanted to create space for dialogue with young people, and promised measures to support businesses affected by looting.
"I understand the anger, the sadness, and the difficulties caused by power cuts and water supply problems. I heard the call, I felt the suffering, I understood the impact on daily life," he said.
The United Nations High Commissioner for Human Rights said the casualties include protesters and bystanders killed by members of the security forces, but also others killed in subsequent widespread violence and looting by individuals and gangs not associated with the protesters.
Madagascar's ministry of foreign affairs rejected the casualty figures reported by the UN, saying the data did not come from competent national authorities "and are based on rumors or misinformation."
Malagasy riot police use tear gas to disperse protesters during a demonstration against frequent power outages and water shortages, near the University of Antananarivo, Madagascar 29 September, 2025
On Monday protesters gathered at a university where they waved placards and sang the national anthem before attempting to march towards the city centre, footage from 2424.MG news channel showed.
Police fired teargas to disperse the crowd, after authorities declared a dusk-to-dawn curfew last week.
The protesters have adapted a flag used in Nepal where protesters forced the prime minister to resign this month and have also used similar online organisation tactics as protests in Kenya last year that culminated in the government scrapping proposed tax legislation.
Rajoelina first came to power in a 2009 coup. He stepped down in 2014 but became president again after winning the 2018 election, and secured a third term in a December 2023 poll that his challengers said was marred by irregularities.
Soma pia
Source: African news
Maandamano hayo, ambayo sasa yameingia siku ya tatu, yamechochewa na hasira za wananchi kuhusu mgao wa umeme na maji unaodumu kwa zaidi ya saa 12. Waandamanaji wanatumia mbinu za harakati za vijana za kimataifa, wakihamasishwa na mafanikio ya harakati za “Gen Z” nchini Kenya na Nepal
Katika hotuba yake iliyorushwa moja kwa moja kupitia televisheni, Rais Rajoelina alionyesha msimamo wa upole, akisema: “Ninaelewa hasira, huzuni na changamoto... Nimesikia kilio, nimehisi maumivu.” Aliomba msamaha endapo viongozi wake wameshindwa kutimiza wajibu wao na akaahidi msaada kwa wafanyabiashara walioathiriwa na uporaji.
Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imethibitisha kuwa vifo na majeruhi yametokana na hatua za vyombo vya usalama pamoja na ghasia na uporaji uliofanywa na makundi ya wahuni. Hata hivyo, wizara ya mambo ya nje ya Madagascar ilikanusha takwimu hizo, ikizitaja kuwa ni “uvumi na taarifa zisizo sahihi.”
Jumatatu, polisi walitumia mabomu ya machozi kuwatawanya waandamanaji waliokusanyika katika chuo kikuu na kujaribu kuelekea katikati ya jiji, licha ya kuwepo kwa amri ya kutotoka nje kuanzia jioni hadi alfajiri iliyotangazwa wiki iliyopita
Vijana wa Madagascar wameiga mbinu za maandamano kutoka mataifa mengine, wakipeperusha bendera ya maandamano inayofanana na ile iliyotumika Nepal—ambako maandamano yalipelekea kuondolewa kwa waziri mkuu hivi karibuni na pia kutumia mbinu za uratibu mtandaoni zilizoshuhudiwa kwenye maandamano ya kupinga kodi nchini Kenya.
Hali hii inaashiria sura mpya ya uanaharakati unaoongozwa na kizazi cha kidijitali nchini humo
Mgogoro huu ni changamoto kubwa zaidi kwa Rais Rajoelina, ambaye kwa mara ya kwanza alichukua madaraka kupitia mapinduzi mwaka 2009, kisha akachaguliwa tena mwaka 2023 katika uchaguzi uliogubikwa na utata. Hatua yake ya kuvunja serikali inatafsiriwa kama jaribio la moja kwa moja la kuzima hasira za wananchi na kurejesha udhibiti
============For English Audience===============
============For English Audience===============
Madagascar president dissolves government following deadly protests
Madagascar President Andry Rajoelina said on Monday he was dissolving the government following youth-led protests over water and power cuts in which the United Nations says at least 22 people have been killed and more than 100 injured.Inspired by the so-called 'Gen Z' protests in Kenya and Nepal, the three days of demonstrations are the largest the Indian Ocean island has seen in years, and the most serious challenge Rajoelina has faced since his re-election in 2023.
"We acknowledge and apologise if members of the government have not carried out the tasks assigned to them," Rajoelina said in speech on state broadcaster Televiziona Malagasy (TVM).
The president said he wanted to create space for dialogue with young people, and promised measures to support businesses affected by looting.
"I understand the anger, the sadness, and the difficulties caused by power cuts and water supply problems. I heard the call, I felt the suffering, I understood the impact on daily life," he said.
The United Nations High Commissioner for Human Rights said the casualties include protesters and bystanders killed by members of the security forces, but also others killed in subsequent widespread violence and looting by individuals and gangs not associated with the protesters.
Madagascar's ministry of foreign affairs rejected the casualty figures reported by the UN, saying the data did not come from competent national authorities "and are based on rumors or misinformation."
Malagasy riot police use tear gas to disperse protesters during a demonstration against frequent power outages and water shortages, near the University of Antananarivo, Madagascar 29 September, 2025
On Monday protesters gathered at a university where they waved placards and sang the national anthem before attempting to march towards the city centre, footage from 2424.MG news channel showed.
Police fired teargas to disperse the crowd, after authorities declared a dusk-to-dawn curfew last week.
The protesters have adapted a flag used in Nepal where protesters forced the prime minister to resign this month and have also used similar online organisation tactics as protests in Kenya last year that culminated in the government scrapping proposed tax legislation.
Rajoelina first came to power in a 2009 coup. He stepped down in 2014 but became president again after winning the 2018 election, and secured a third term in a December 2023 poll that his challengers said was marred by irregularities.
Soma pia
- Maandamano ya Gen Z nchini Madagascar yanaendelea siku ya tatu leo
- Gen Z Madagascar waandamana dhidi ya kukatika kwa umeme na ukosefu wa maji
Source: African news