Rais Putin na Obama ana kwa ana.

Obama alisharudi nyuma,sasa tunamgoja hilaly clinton
Tena hako kabibi Nimemsikia juzi hapo akisema akishatinga White house tuu Operations yake ya kwanza ni pale Syria kwa Assad.

Kama Obama akiufyata na kulialia, tuone kama yeye atauweza huo Mziki Russia.....!!!
 
Hapa mkuu, Hillary amekwisha tone down her rhetoric, sijui kashtuka nini? Mambo ya kutaka kukabiliana na Warusi/Asaad huko Syria ameachana nayo anasema mambo hayo yanaweza kumalizwa kidiplomasia - nafikiri mumewe ndiye kamshauri hivyo.
 
Kwahali ilivyosasa sidhani kama wanaweza wakakutana na kudiscuss issue yoyote. Labda kila mtu atume mwakilishi
 
member: 367083" said:
Kwani obama ndie asiekua nazo? amewahi kutoka nje ya marekani bila ulinzi mkali? embu wacha mambo yako bwana
Nadhani hujaelewa ninachokiongea; I haven't talked about security around top officials in the country, Am talking of them carrying personal weapons like pistols. Top officials huwa hawabebi siraha katika miili yao zaidi ya kuambatana na ulinzi wa pembeni ambao hao ndio hubeba siraha. Nadhani nitakuwa nimeutanua ubongo wako, usikurupuke na kupinga tu something you haven't understood kijana.
 
ni vyema kuandika sentensi inayoeleweka kama hapo
 
Hapa mkuu, Hillary amekwisha tone down her rhetoric, sijui kashtuka nini? Mambo ya kutaka kukabiliana na Warusi/Asaad huko Syria ameachana nayo anasema mambo hayo yanaweza kumalizwa kidiplomasia - nafikiri mumewe ndiye kamshauri hivyo.

Lakini Putin atakuwa na masharti yake ambayo kwao hao Marekani na NATO itakuwa vigumu sana kukubali, lakini watake wasitake watakubali tuu
 
Back
Top Bottom