Rais Putin amuonya Trump

Madrid boy

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2017
Posts
895
Reaction score
615
Habari zenu wakùu ni matumaini hamjambo.Rais wa Urusi Vladimir Putin amwambia mwenzake wa Marekani endapo atawapa maadui wa Urusi silaha yani Ukraine naye atajibu kwa kuwapa silaha maadui wa Marekani yani kundi la Taleban

Rais Putin amesema kipindi nchi ya Urusi inapambana na kundi la Taleban mwaka 1980 Marekani alikua anawapa silaha leo hii wamesababisha Mtandao Mkubwa wa kigaidi .Leo hii Marekani katika eneo hilohilo wanapambana kundi walilokua wakilifadhili kwa silaha.

Source Russia insider



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok.
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…