Rais Putin alishindwa kutumia hekima kidogo tu

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,727
Reaction score
13,466
Swala la putin kusogeza nyambizi zake zenye silaha za nuclear karibu na marekani na washirika wa Nato ndio alitakiwa alifanye kama Ukraine ingejiunga na Nato

Kuivamia Ukraine kumeleta maafa makubwa sana maan Putin alikuwa hataki Nato wasogeze silaha zao mlangoni kwake, sasa kuivamia Ukraine ndio kumewakaribisha nato vizuri maana Marekani kashampa makombora ya kupiga ndani ya Russia na jana kayatumia kupiga hadi Russia ambapo yamejeruhi watu 150

Sasa sijui Putin hadi sasa kafanya nini
 
Yupo vitani na uchumi wake unajua na viwanda vingi vimejengwa nyumbani na Sasa anaexport zaidi kuliko imports.

Wale wengine uchumi wao unayumba sana wanahaha na vikwazo ambavyo vinawaumiza wao zaidi ya walengwa.

Mwisho wa siku wanakufa watu waliodanganywa na wao, wanaopewa silaha na wao, wanaopewa pesa na wao.

Je wapi Kuna busara?
 
Unasemaje mkuu?

Hapo hakuna ukweli hata kidogo! Usicheze na wahuni wa NATO na USA

Walitumia lugha ya kujiliza liza ili wao watimize kile kilikuwa target yao ya miaka mingi

Mrusi ndio anaishi kwa shida kubwa kushinda nchi za Ulaya na America
 
Wanauzi bizaa gani nje kwa wingi kwa sasa bwana shemeji
 
Unasemaje mkuu?

Hapo hakuna ukweli hata kidogo! Usicheze na wahuni wa NATO na USA

Walitumia lugha ya kujiliza liza ili wao watimize kile kilikuwa target yao ya miaka mingi

Mrusi ndio anaishi kwa shida kubwa kushinda nchi za Ulaya na America
Kama unajua biashara za kimataifa. Angalia kitu kinaitwa balance of trade na balance of payment kati ya Urusi na rest of the world hata IMF reports zipo soma. Ukishindwa basi angalia deni la Urusi the last three years linaongezeka au linapungua.

Ukishindwa hapo basi walau angalia ukuaji wa uchumi wa Urusi vs NATO countries the last three years.

Ukishindwa basi Google kitu kinaitwa purchasing power parity(PPP) ya Urusi last three years Kisha linganisha na Nchi za NATO
Pia ngalia unemployment rates the URUS the last three years.

Mwisho angalia ranks za nchi zote za NATO vs URUS kwa kigezo Cha PPP hapo juu uniambie for the last three years nani kapanda nani kashuka.

Ukishindwa usiongee tena
 
Swala la putin kusogeza nyambizi zake zenye silaha za nuclear karibu na marekani na washirika wa Nato ndio alitakiwa alifanye kama Ukraine ingejiunga na Nato

Kuivamia Ukraine kumeleta maafa makubwa sana maan Putin alikuwa hataki Nato wasogeze silaha zao mlangoni kwake, sasa kuivamia Ukraine ndio kumewakaribisha nato vizuri maana Marekani kashampa makombora ya kupiga ndani ya Russia na jana kayatumia kupiga hadi Russia ambapo yamejeruhi watu 150

Sasa sijui Putin hadi sasa kafanya nini
We Mang'ati unaipangia Russia chakufanya wakati hauna hata uhakika wa kula
 
Yupo vitani na uchumi wake unajua na viwanda vingi vimejengwa nyumbani na Sasa anaexport zaidi kuliko imports.

Wale wengine uchumi wao unayumba sana wanahaha na vikwazo ambavyo vinawaumiza wao zaidi ya walengwa.

Mwisho wa siku wanakufa watu waliodanganywa na wao, wanaopewa silaha na wao, wanaopewa pesa na wao.

Je wapi Kuna busara?
Bwege mkubwa wewe,kwani Warusi hawafi?
 
Uchumi wa Russia hauwezi kubaki salama. Maskini na Tajiri waingie kwenye vita halafu useme masikini uchumi wake ni mzuri, uchumi wa Russia ni sawa na jimbo la carlifonia, acha vita viendelee tutaona matokeo
 
Swala la putin kusogeza nyambizi zake zenye silaha za nuclear karibu na marekani na washirika wa Nato ndio alitakiwa alifanye kama Ukraine ingejiunga na Nato

Kuivamia Ukraine kumeleta maafa makubwa sana maan Putin alikuwa hataki Nato wasogeze silaha zao mlangoni kwake, sasa kuivamia Ukraine ndio kumewakaribisha nato vizuri maana Marekani kashampa makombora ya kupiga ndani ya Russia na jana kayatumia kupiga hadi Russia ambapo yamejeruhi watu 150

Sasa sijui Putin hadi sasa kafanya nini
Putin alitaka kuimeza Ukraine
 
Back
Top Bottom