Nomadiq
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 7,924
- 20,912
Habari bandugu natumai ni kwema.
Kuelekea uchaguzi wa mwaka huu, kama ilivyo ada haki ya kila mtanzania alietimiza miaka18 kupiga kura. Aidha palipo na haki pana wajibu, wajibu wa kila mpiga kura ni kuzingatia taratibu zote za uchaguzi na kumchagua kiongozi anaefaa kulingana na yeye aonavyo/sera za mgombea.
Rais nitakaempa kura atakuwa na sifa hizi
~awe na akili timamu, za darasani na za kimaisha.
~anaezingatia maoni chanya ya wananchi, haki za binadamu, uwajibikaji na nidhamu za watumishi.
~awe na sera thabiti za kutatua matatizo yanayohusu huduma za maji, umeme, afya, usafiri na elimu.
~awe na nia ya kuleta ufumbuzi wa changamoto ya ajira kwa vijana.
~anaejali utu wa watanzania na waafrika kiujumla.
~asie na ubaguzi hasa wa kidini na kikabila.
~mwenye nia ya kulijenga taifa kiteknolojia (mf. akili mnemba, EVs) kiviwanda, na kisayansi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Sifa ni nyingi lakini nitazingatia hayo katika kampeni zake na portfolio ya miaka iliyopita
Haijalishi ni wa chama gani nitampa kura yangu.