Ryaro wa Ryaro
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 2,659
- 1,430
Rais Wa JMT bila Kupepesa Macho na kuumaums maneno ni Mh. Edward.G.Lowassa Hadi sasa Tena kwa zaidi ya 70%.
Swali na taswiswi Imebaki,Je Mwanamke atachomoza kushika nafasi ya PM na je Ni nani?.
1.Halima Mdee.Chadema
2.Magdalena Sakaya..CUF.
3.Prof.Tibaijuka ...CCM. Kama iwapo watapata viti vingi bungeni.
Sofia Simba
Sikuwahi fikiri uko empty minded kiasi hiki!!
Sophia Simba awe PM kwa katiba ipi ilhali hagombei ubunge wakuchaguliwa?
Naomba mama wa ACT apewe uwaziri.
Kwani kuna hoja ya maana hapo ya kuchangia!!
Mtoa mada kamtaja Tibaijuka wakati katiba hairuhusu mseto!!
Point yangu ilikua ni jibu la kipumbavu kwa hoja ya kipuuzi
wacha ndoto za mchana. ukawa na huyo mgombea wenu ikulu mtaiona na kuisikia kwa mbaliiii. sijui kwa nini hamjajaliwa uwezo wa kuelewa. watanzania wana akili ikulu sio pango la wezi.Rais Wa JMT bila Kupepesa Macho na kuumaums maneno ni Mh. Edward.G.Lowassa Hadi sasa Tena kwa zaidi ya 70%.
Swali na taswiswi Imebaki,Je Mwanamke atachomoza kushika nafasi ya PM na je Ni nani?.
1.Halima Mdee.Chadema
2.Magdalena Sakaya..CUF.
3.Prof.Tibaijuka ...CCM. Kama iwapo watapata viti vingi bungeni.
Kwani kuna hoja ya maana hapo ya kuchangia!!
Mtoa mada kamtaja Tibaijuka wakati katiba hairuhusu mseto!!
Point yangu ilikua ni jibu la kipumbavu kwa hoja ya kipuuzi
wacha ndoto za mchana. ukawa na huyogombea wenu huyo mtaiona na kuisikia kwa mbaliiii. sijui kwa nini hamjajaliwa uwezo wa kuelewa. watanzania wana akili ikulu sio pango la wezi.
wacha ndoto za mchana. ukawa na huyo mgombea wenu ikulu mtaiona na kuisikia kwa mbaliiii. sijui kwa nini hamjajaliwa uwezo wa kuelewa. watanzania wana akili ikulu sio pango la wezi.
Wewe ndo unaonekana mpuuzi uliyejawa upumbavu ndio maana hata vitu systematic unaona ni upuuzi na upumbavu!!!
Katiba ipi unayoisema? unajua katiba inatamka tu "waziri mkuu atatokana na chama chenye wabunge wengi" au hujui unaparamia tu habari kama mwewe?
Tibaijuka ni mgombea wa CCM na ikitokea CCM ikapata wabunge wengi ila ikakosa Urais hujui kikatiba itatoa waziri mkuu kwakuwa tu wana wabunge wengi??
Wewe juha kweli kweli unajifanyaga mjuaji kumbe ndezi mzee tu!!