Rais naomba ututumbulie TCU

Rais naomba ututumbulie TCU

msafwa93

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
4,840
Reaction score
6,141
Kwanza Naomba kuuliza...

Je, mishahara wanayolipwa ni kodi zetu.?
Kama ndiyo, kwanini wanafanya kazi kama wanajitolea?

Walifuta Mfumo Wa Wanafunzi Wa Diploma Kuomba Kujiunga Vyuo Vikuu Kupitia Nacte.

Kwa kujitutumua kabisa wakasema inabidi wanafunzi hao waombe kupitia TCU na wakaandika kwenye Website yao kwamba wataanza kuruhusu maombi 31st Of July..

Ilipofika 31-July, Wanafunzi hao wakataharuki kukuta Tangazo Lingine Lililoandikwa Watafungua Tarehe 8 Mwezi Wa 8 (Yaani jana)..

Lakini Cha Kushangaza ni kwamba Mpaka Leo Haijafunguliwa Na Bado Tangazo Linasomeka Kuwa Itafunguliwa Tarehe8 Mwezi Wa8..
Kama picha inavyoonesha hapa chini..

1470726787663.jpg

Sasa TCU wana maana gani kwa hili wanalofanya.?
Na ofisini wanafanya nini.?
ina maana Magufuli hajaambiwa kuhusu hili na wasaidizi wake.?
Na Mama Ndalichako?
 
Hata mimi hili jambo limenisikitisha kwani ni ubabaishaji na sikutarajia taasisisi kubwa kama hii inayokusanya mabilioni ya hela ifanye mambo kisanii namna hii.Basi hata wangeomba radhi na kutoa updates kwa wahusika.Ukipiga simu hawapokei simu zinaita tuu.Tafadhali wandugu wajibikeni,hatupendi kuona mnatumbuliwa lakini kumbukeni kuwa kiburi kinaweza kuwaponza au ni mbinu za kutaka watu wamchukie mh Magufuli na timu yake?Sitaki kuamini hata hivyo kuwa hizi ni njama dhidi ya serikali ya Magufuli.
 
Bora Yangekuwa Mambo Ya kisanii..

Ni mambo ya kitoto,Aibu sana Kwa Serikali..
 
Back
Top Bottom