Rais Museveni ampongeza Donald Trump

Unafiki tu bila shaka walikuwa wanakesha kwa sangoma ili Trump asishinde
 
Kuna video nyingi zinatrend kwenye mitandao kuonyesha jinsi wamarekani waliopoteza walivyochukizwa. Sasa huenda mtu mmoja akafuata mawazo ya wengi kama tulivyozoea lakini akasahau uhalisia wa mawazo hayo. Hii video ni maeneo ya Manhattan ambako ndio mchaguliwa anakotokea! Je, mswali yanaongezeka!?
https://www.facebook.com/video.php?v=1298567120155006
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…