Mgabe kasema ndo shida ya kutomuandaa mtu kama huku kwetu et Obama kajichanganyaNgoja tusubirie na Comredi Mugabe kama naye atampongeza
Trump alisema hivi, nanukuu..." “I want to reiterate here before America’sAjiandae kupinduliwa!
Kati ya ahadi za Trump ilikuwa ni Kuhakikisha Museven na Mugabe wanaondoka madarakani..!
I congratulate Mr. Donald Trump on his election as the President of the United States of America. Elections in the US or any country are a matter for the people of that country.
Our relationship with the United States will continue regardless of which leader or party is leading.
I congratulate Mr. Trump once again and look forward to working with him as we have been working with the other leaders before him.
View attachment 431549
Habari ndio kama inavyosomeka hapo, siasa hazina uadui au urafiki wa kudumu.
Sio Mimi.Huyo trump mwenyewe.ila kibonde bhana anachekesha kweli.eti Donald trump na ubabe wake wote hamuwezi magufuli na serikali yake.huyu kibonde wa clouds anajielewa kweli?na magufuli anazidi kulewa hizi sifa.mtampasua kichwa rais wetu jaman.No 1 na 4 hapo mkuu ckubaliani nawe kabisa
Mbona wao wamarekani hawakai nchini mwao kujenga nchi yao?kila siku wako afrika kuja kuchukua madini,mafuta,malighafi n.k.sema wana chuki binafsi na waafrika.mwafrika hachagui kazi.na hlo ndo tatizo.wanaota waafrica wanachukua kazi zao.Trump anataka waafrika wabaki nchi zao ili wazijenge na sio kukimbilia Marekani, anajua sababu ya waafrika kukimbilia Marekani ni kwa sababu ya watawala wabovu wa nchi za kiafrika.
Ndo hivyo mkuu, ni kuwapiga marufuku tu na wao.Mbona wao wamarekani hawakai nchini mwao kujenga nchi yao?kila siku wako afrika kuja kuchukua madini,mafuta,malighafi n.k.sema wana chuki binafsi na waafrika.mwafrika hachagui kazi.na hlo ndo tatizo.wanaota waafrica wanachukua kazi zao.
Trump anataka waafrika wabaki nchi zao ili wazijenge na sio kukimbilia Marekani, anajua sababu ya waafrika kukimbilia Marekani ni kwa sababu ya watawala wabovu wa nchi za kiafrika.[/QUOTE
Sera zako za mambo ya nje ni kuhakikisha anapambana na ugaidi kokote uliko, kuwa na mahusiano yenye tija na mataifa yote, kujenga ukuta border ya marekani na mejico, kuzuia kwa muda uingiaji wa waislamu nchin marekani, Utawala wake utakuwa wny mlengo wa kuirudisha sifa ya marekani zaidi, haya mambo cjui kuvamia nchi na kumuondoa dictator hz n sera za wakina clinton na deemocratic yake jamani, trump hayupo kwny mamb ya kijinga km haya,
So if Trump is going to act like a beast towards his rivaals, wn't clinton and 'bama run away....??, He'll nvr meddle in African politics, cos he undstnds the consequences of doing so.Because they don't leave the office and compressing democracy. Haven't you heard that Museveni's competitor mr Kiza Basigye flew the country to fear the government harrassment?
Kwahyo sera za trump ni copy ya obama co, hv umewahi hata fuatilia sera zake ktk campaign zake mblmbl?? Trump yupo kwny mambo ya msingi tu na ndio maana kashinda, binafsi trump na clinton namkubali clinton ila mama hakuwa na sera mzur kumzd trump. sera zake ni vita vita tu sasa unafkr raia/ waliopga kura wanapenda taifa lao liwe la kupigana tu kila regime inapochange huku ndugu zao wanakufa kwny vita hzo?Rejea Ahadi za Trump...
1. Kulitawala tena bara la Africa
2. Kutimua wahamiaji harumu US
3. Kupiga marufuku waislamu wote kuingia US
4. Museven na Mugabe kuondolewa kwenye uongozi
5. Kujenga ukuta na Mexico...
Kama unauliza atawaondoa kwa excuses gani, waulize Libya, Tunisia, Egpty, Iraq, Afaghanistan, waliwaondoa vp viongozi wao madarakani
Mkuu, Trump akifanya hayo yote nitakupgia magoti na kukuheshimu sana kimaonoBecause they don't leave the office and compressing democracy. Haven't you heard that Museveni's competitor mr Kiza Basigye flew the country to fear the government harrassment?
Inawezekana mkuu, km trump atashndwa kupambana na ubovu wa serikali atakayoachiwa kwann ucmcfie maguSio Mimi.Huyo trump mwenyewe.ila kibonde bhana anachekesha kweli.eti Donald trump na ubabe wake wote hamuwezi magufuli na serikali yake.huyu kibonde wa clouds anajielewa kweli?na magufuli anazidi kulewa hizi sifa.mtampasua kichwa rais wetu jaman.
Kibonde alimaanisha kwamba.trump akivimbisha kichwa na magufuli.atavimbisha kichwa.Inawezekana mkuu, km trump atashndwa kupambana na ubovu wa serikali atakayoachiwa kwann ucmcfie magu
Unamaanisha Juma Ponda Mali?Hivi anachagua madikteta au...
namaanisha wa ukweli na wasio wa ukweli, maana hata wanaoigiza udikteta inatakiwa wakae nyuma ya nondo.
Yaani hako kajamaa nakawaziaga vibaya Mungu anisamehe.Kwa sisi uchaguzi siyo wa wananchi, si unaona ya Jecha?
Lakini je inawezekana kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa rais wa dunia?Habari ndio kama inavyosomeka hapo, siasa hazina uadui au urafiki wa kudumu.