Rais Mugabe Mungu anakuona..

ya mwishoo hyo..........................................................ni sooo......................
 
Nimeipenda hiyo mademu wenye komwe kubwa wanaonekana kama Zuma[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mi kilugha hicho kinanishinda naona picha za mugabe tu hakuna zilizoandikwa kiswahil au kikolomije?
 
Unataka mwanaume atakayekupa asilimia mia ya mshahara wake? Mungu mwenyewe anachukua asilimia kumi, unajiona wewe nani? Mama yake Mungu au?- Mugabe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…