Hiyo miti aliiotesha yeye au ameikuta imeota? Kama imeota yenyewe na anangojea kuvuna mbao huo uwekezaji unaozungumzia uko wapi? Hili halina tofauti na lile la bilionea aliyepewa ardhi na mahali pa kujenga PRIVATE HARBOUR" kule mtwara😇. Waswahili husema "WAJINGA NDIO WALIWAO".Leo katika hali isiyo ya kawaida askari walitanda barabara kuania uwanja wa ndege wa Nduli mpaka ipogolo,kumbe kulikuwa na ujio wa rais mstaafu wa marekani,rais huyo aliwasili majira ya saa nne asubuhi na kuelekea kidabaga ambako inasemakana anamiliki kampuni la New forest ambalo lina eneo kubwa la miti wilaya ya kilolo
Nasikia hata Anorld Schwarzenegger naye kawekeza huko Summbawanga-Rukwa bonge la eneo analo. Huyu ndiyo Kiiwete bhana anauza nchi hivi hivi. This is too much katka uwekezaji.
Leo katika hali isiyo ya kawaida askari walitanda barabara kuania uwanja wa ndege wa Nduli mpaka ipogolo,kumbe kulikuwa na ujio wa rais mstaafu wa marekani,rais huyo aliwasili majira ya saa nne asubuhi na kuelekea kidabaga ambako inasemakana anamiliki kampuni la New forest ambalo lina eneo kubwa la miti wilaya ya kilolo
Pamoja na umiliki wake wa New Forest pia ina sadikika kuwa baadhi ya maeneoehemu hayo kuna dhahabu ya kutosha na ndio maana siku si nyingi serikali kupitia wakala wake wa barabara (tanroads) wataipiga mkeka kuanzia Ipogolo kupitia Kilolo, Kidabaga, Boma la Ng'ombe, Usokami na Mwisho itakuwa ni Mafinga. Wananchi wataambiwa huo ni utekelazaji wa malengo ya millenia lakini ukweli halisi ni changa la macho sababu anajiwekea mazingira mazuri ya miundombinu (barabara) ili wakati ukifika iwe rahisi kwa watu wake kwenda na kurudi bila shida yoyote.