Mtoto WaKabwela
Member
- Mar 25, 2011
- 28
- 6
ok
Kabla hujatapika pumba uwe unauliza na ku-judje usikurupuke ndugu..nahisi hata protocol zilizotumika hapo huzijui na hutozijua cuz unaonekana hupendi kujifunza ila ni mtu wa kwanza kuponda..Haya maoni sio hisia , Kwanini Makamu mkuu wa chuo asipandishe cheo kuwa mkuu wa chuo, harafu nafasi ya Makamu ikajazwa na Mwalimu mchapakazi, mwenye kipaji cha uongozi na mwenye uzoefu, Harafu hiyo nafasi itakayoachwa wazi na mwalimu atakayejaza nafasi ya umakamu Mkuu wa Chuo akaajiliwa mwalimu mwingine ambaye hana kazi?Hivi wa-Tanzania mnatumia njia gani kuongeza nafasi za kazi ? kwa kuwapa wenye ajira ajira?
Binafsi siungi mkono mazoea, utaratibu na tabia ya kuiga kuwa kila Raisi Msataafu anahaki ya kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Umma pindi anapostaafu kazi ya Urais, kwa kuiga Mfano wa aliyekuwa Rais wa Marekani na Marais wengine wa Afrika na ilivyokuwa kwa Raisi wa pili na wa tatu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kama swala ni uongozi, Kutumikia Umma au kuwa na sifa ya kuwa mkuu wa chuo Kwanini wasianzishe vyuo vyao wakati wapo Madarakani au wanapostaafu?