Huyo mzee alieko katikati ya Mwinyi na Komandoo Salimin Amour ndo nani tena maana katika histori yangu atakuwa ni rais ambae hakutajwa sana kwenye maskio ya watu wengi sana
Pole sana Mzee A Jumbe!hivi akikutana na Maalim Seif wanasalimianaje?maana Maalim ndie aliemsemea kwa JKN hadi akatemwa na akapewa WK ndugu Seif S Hamad.kweli kikulacho....