mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,162
- 794
Atakae tazama hii video wakati ukiwa katika kazi zako ataona wewe ni rafiki lakini ni mkali inapobidi uwe hivi hivi katika taasisi nyingine
Nchi itasonga mbele badala ya kutengeneza bifu na watendaji wako. Shtukiza hata kwangu njoo ofisini uwe rafiki badala ya ubabe ubabe.
Hii inanifanya nipende kufanyakazi na wewe tena usiku na mchana.