Rais Magufuri tunaomba usikie kilio cha walimu

chija

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
276
65
Ndugu mheshimiwa raisi tunaomba usihangaike na ongezeko la mshahara Bali tunaomba tupatiwe posho ya kati kati ya mwezi pamoja na mikopo nafuu ya nyumba maana ukiongeza mshahara na makato yanaongezeka hivyo inakuwa sawa na hakuna kinachofanyika wafunguliwe maduka yao maalumu kwa ajili ya mikopo ya vifaa vya ujenzi
 
Yule kaenda kuaga sehemu aliyokuwa akifanya kazi
 
Hajui walimu wengi ndo walikuwa wanaponea kwenye michango hiyo hiyo
 
Ndugu mheshimiwa raisi tunaomba usihangaike na ongezeko la mshahara Bali tunaomba tupatiwe posho ya kati kati ya mwezi pamoja na mikopo nafuu ya nyumba maana ukiongeza mshahara na makato yanaongezeka hivyo inakuwa sawa na hakuna kinachofanyika wafunguliwe maduka yao maalumu kwa ajili ya mikopo ya vifaa vya ujenzi

Kwa hiyo ndugu mtoa mada kumbe na wewe ni mwalimu! basi ushauri wangu wa bure kwako na kwa walimu wote wa nchi hii ni kwamba, siku zote mshahara hautoshi!
na hiyo posho unayoiomba watawala walishaitolea tamko! watoe wasitoe walimu na watumishi wengine wa umma hawana budi kujiongeza badala ya kuishi kwa kutegemea mshahara tu. Ukijiongeza hata hiyo posho ni useless.

Tusiwe watu wa kulalamika sana na kupenda kubebwa bebwa pasipo kujibeba wenyewe
.Tufanye kazi kwa bidii huku na maisha yetu baada ya muda kazi yakiendelea.
 
Ndugu mheshimiwa raisi tunaomba usihangaike na ongezeko la mshahara Bali tunaomba tupatiwe posho ya kati kati ya mwezi pamoja na mikopo nafuu ya nyumba maana ukiongeza mshahara na makato yanaongezeka hivyo inakuwa sawa na hakuna kinachofanyika wafunguliwe maduka yao maalumu kwa ajili ya mikopo ya vifaa vya ujenzi
Ni kweli kabisa kwasababu hayo mambo yamewezekana kwa maaskari kwa nini yashindikane kwa walimu na tunatumia muda mrefu kusoma na vile vile hatuns fursa nyingine kama semina, safari na rushwa kama zilivyo kada nyingine?
 
Mbona maa askari wanabebwa bebwa husemi kaka acha hizo
 
Back
Top Bottom