Rais Magufuli yashamshinda?

Ngoja Madiwani wa chadema wahame kumuunga mkono
 
Kwa hali ya nchi ilipokuwa wakati Wa kikwete ndani Na nje ya nchi kulikuwa Na sababu ya kumpata huyu bwana maana Tanzania heshma ake ilikuwa imeshuka sema kitu ambacho anatakiwa afanye ni kulegeza vyuma namna alivyokaza , Hii nchi ikipata tena kama Magufuli tutafika mbali sana, IPO Siku Magufuli tutamkumbuka kwa mazuri mengi sana miaka ijayo , nabii hakubaliki kwao
 
pole sana sio kwa huyu mbege laah
 
Nafukua kaburi. Katika uzi huu nilipata kumuuliza mtu swali Kama inavyoonekana 👇

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…