Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,084
Rais Buhari wa Nigeria alipotangaza baraza lake la mawaziri yeye mwenyewe aliamua kuwa Waziri wa Mafuta na matatizo ya Nigeria katika sekta hii ya mafuta hakuna tofauti na matatizo tuliyonayo kwenye wizara ya nishati na madini.
Ukiangalia wizara ya nishati na Madini. Kwa kipindi cha miaka 10 imeshashikiliwa na zaidi ya mawaziri 5, ni wakati muafaka kwa wizara hii kusimamiwa moja kwa moja na Rais Magufuli, hii itamsaidia Mheshimiwa Rais kufuatilia kwa karibu yanayoendelea kwenye wizara hii. Nina uhakika kwa ushupavu wa Rais Magufuli ataifumua mikataba yote ya madini hata zile zillizosainiwa hotelini huko Ulaya