MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,055
Mambo yanafanyiwa kazi taratibu. Vyombo husika vinafanya kazi zao. Kama kuna tatizo wahusika watachukuliwa hatua.MsemajiUkweli Tumemsikia mara nyingi na maneno hayo hayo(whining)
Tunataka atoke atuambie LUGUMI kilitokea nini.
Hili la Lugumi wote wamekaa kimya kana kwamba hakuna kilichotokea.
Tunahitaji kusikia nini kimetokea?
MKuu, mimi nadhani tatizo lako unataka kusikia yanayokupendeza ndani ya roho na nafsi yako.MsemajiUkweli Tumemsikia mara nyingi na maneno hayo hayo(whining)
Tunataka atoke atuambie LUGUMI kilitokea nini.
Hili la Lugumi wote wamekaa kimya kana kwamba hakuna kilichotokea.
Tunahitaji kusikia nini kimetokea?
...mkuu si ndio kamati ya Bunge jana wameandika barua kwa jeshi la polisi, baada ya zile siku saba za mwanzo kupita bila majibu,jana wamepewa siku tatu kwenye hiyo barua,wawe wametolea ufafanuzi hayo mambo,hebu tusubiri tuone kitakachotokea,subira yavuta kheri.MsemajiUkweli Tumemsikia mara nyingi na maneno hayo hayo(whining)
Tunataka atoke atuambie LUGUMI kilitokea nini.
Hili la Lugumi wote wamekaa kimya kana kwamba hakuna kilichotokea.
Tunahitaji kusikia nini kimetokea?
Shukrani kwa kuleta andiko linalofanana katika ujumbe kwa wananchi....."ni aibu kwa Rais wa nchi kwenda mahali na kukuta wananchi wake wanalia shida..."-Magufuli.
....."urais sio kazi ndogo,unapita mabarabarani huko,unaona wananchi wana maisha magumu,unawaangalia,unajua huu ni mzigo wangu"-Mwalimu Nyerere.
Mkuu, hukupitia katika eneo la tamathali za usemi katika lugha?sijaelewa kitu, kwa kutunyima misaada wataathirikaje mpaka wahurumiwe, au tutawanunia?
Sasa unahitaji kusikia kwa nani mbona umeshasikia tayali unataka kusikia tena.MsemajiUkweli Tumemsikia mara nyingi na maneno hayo hayo(whining)
Tunataka atoke atuambie LUGUMI kilitokea nini.
Hili la Lugumi wote wamekaa kimya kana kwamba hakuna kilichotokea.
Tunahitaji kusikia nini kimetokea?
Mimi nadhani huyo hataki kumsikia Rais Magufuli akisema atawashughulikia wezi na mafisadi.Sasa unahitaji kusikia kwa nani mbona umeshasikia tayali unataka kusikia tena.
Tunataka kusikia nini kimetokea, na kisha utumbuaji. LUGUMI ni kitu gani!Sasa unahitaji kusikia kwa nani mbona umeshasikia tayali unataka kusikia tena.
Mkuu jeshi la Polisi ni chombo anachosimamia. Kauli yake ilikuwa rahisi sana, 'toeni mkataba' kwa kamati ya bunge!...mkuu si ndio kamati ya Bunge jana wameandika barua kwa jeshi la polisi, baada ya zile siku saba za mwanzo kupita bila majibu,jana wamepewa siku tatu kwenye hiyo barua,wawe wametolea ufafanuzi hayo mambo,hebu tusubiri tuone kitakachotokea,subira yavuta kheri.
Hapana hapa mnataka kuhamisha goliMKuu, mimi nadhani tatizo lako unataka kusikia yanayokupendeza ndani ya roho na nafsi yako.
Unaposema mmesikia mara nyingi una maana wewe na nani mmesikia? Jisemee nafsi yako kuwa wewe ndio umechoka kwa sababu ni kosa kimantiki/kihoja kuwaweka wananchi wote katika mwanvuli wa fikra zako.
Kuhusu mambo ya LUGUMI, unatakiwa utafute wahusika ambao ni Bunge au unataka Rais aingilie kazi za watu ili upate hoja za kusema Rais Magufuli hafahamu dhana ya separations of power kama ilivyoainishwa katika andiko la spirit of the Laws.
Kwa kukusaidia zaidi kuhusiana na LUGUMI, angalia hii video;
Wabongo tunatabu sana, issue ya Lugumi inashughulikiwa tena kwa kasi sana jana tumejuzwa bunge kutoa siku tatu kwa wahusika kutoa docs wewe leo unasema kila mtu yuko kimnya. Ni kweli wanaposema huwezi kumridhisha kila mtu.MsemajiUkweli Tumemsikia mara nyingi na maneno hayo hayo(whining)
Tunataka atoke atuambie LUGUMI kilitokea nini.
Hili la Lugumi wote wamekaa kimya kana kwamba hakuna kilichotokea.
Tunahitaji kusikia nini kimetokea?
Bandarini hayakusbiri vyombo husika. TRA hayakusbiri vyombo husika. Anne Kilango hakusubiri vyombo husika, hili la LUGUMI kila mmoja analikimbia.Mambo yanafanyiwa kazi taratibu. Vyombo husika vinafanya kazi zao. Kama kuna tatizo wahusika watachukuliwa hatua.
Kwani mkataba si upo? Kitu gani kinachosumbua kuotoa! Kwanini ichukue siku tatu kutoa karatasi kabatini? Nini kinaogopwa hapaWabongo tunatabu sana, issue ya Lugumi inashughulikiwa tena kwa kasi sana jana tumejuzwa bunge kutoa siku tatu kwa wahusika kutoa docs wewe leo unasema kila mtu yuko kimnya. Ni kweli wanaposema huwezi kumridhisha kila mtu.