mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 39,286
- 44,852
Wakati mwingine msitafute watu maneno, anajishauri mwenyewe
Kumbuka gaddafi kilichomkuta.Miaka mia michache sana. Aendelee hadi Mungu atakapomchukua.
Hivi sasa rais wa TANZANIA.anaonekana ameingia kwenye mtihani mkubwa.wa kutamanishwa madaraka.sijui hawa watu wana agenda gani.mtu hata miaka 5 hajamaliza mmamtabiria apewe miaka 100.wakati kila mtu anajua.vipindi vya kuongoza ni miaka mitano.alaf uchaguzi.
Akishinda anapewa mingine mitano ya MWISHO.
NYIE HYO 100 MMEITOA WAPI?
NIA YENU MNATAKA UPINZANI WAANZISHE KAMPENI YA KUPINGA ILI NCHI ICHAFUKE?
KAMA HAUJUI KUNA KUFA BASI KACHUNGULIE KABURI.
HATUTAKI YA MAJIRANI ZETU YATUTOKEE.
NA KAMA MNAVYOJUA,WAZUNGU NA MAGHARIBI WANAPOONA MACHAFUKO NCHINI HAWASHINDWI KUTULETEA VYUMA TUUANE WENYEWE KWA WENYEWE.
HILI NI PEPO BAYA LINAHITAJI KUKEMEWA KWA NGUVU ZOTE.
N.B.mimi si mwandishi mzuri,ila naamini ujumbe umefika.
Kumbuka gaddafi kilichomkuta.
Na mazuri yote aliyofanya.AMELIPWA NINI NA WANANCHI WAKE?SISI TUTAKUBALI AONGOZE MIAKA 100.SAWA.
KUMBUKA KUNA VIZAZI BAADA YA SISI.TUTAONDOKA.
MUNGU SI ATHUMAN KAMPA UMRI MREFU KAMA MUGABE.UNAFIKIRI HAWA WATOTO ZET WATAKUJA KUMKUBALI MAGUFULI?
Acha uongo bhasGaddafi hakuwa na baraka za wananchi wote.
Rais wetu anazo baraka zote. Ni mafisadi pekee na wale waliokuwa wananufaika na ufisadi ndo wanaomchukia Rais wetu. Hawa ni wachache sana kulinganisha na sisi raia wema.
Aendelee hadi pumzi yake ya mwisho.
wanatemea kuna noah mpaka sasawanajipa matumain hewa ishu ya makinikia imewafanya wawe wehu na huku hakuna negotions zozozte zilizokubaliwa had sasa sijui yanatangatanga yanataka nini haya majitu! niliwapongeza' twaweza'kitu kimoja walisema ccm inapendwa na maskini na wasiosoma! yanakera sana ! nalaumu upinzani kwakweli kuliangalia hili na kumute
Bwana Mkubwa aliletewa kanzu bila kipimo au?
Amependedha anameremeta
Me nasaka parking ya noa yangu kwenye viofis vya FICEMwanatemea kuna noah mpaka sasa
kabsa mkuu, n upumba wanafanya wale kjan n pumba maharage