Rais magufuli wanaokushauri uongoze miaka 100 hawakutakii mema.

mjingamimi

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
27,998
2,000
Hivi sasa rais wa TANZANIA.anaonekana ameingia kwenye mtihani mkubwa.wa kutamanishwa madaraka.sijui hawa watu wana agenda gani.mtu hata miaka 5 hajamaliza mmamtabiria apewe miaka 100.wakati kila mtu anajua.vipindi vya kuongoza ni miaka mitano.alaf uchaguzi.
Akishinda anapewa mingine mitano ya MWISHO.
NYIE HYO 100 MMEITOA WAPI?
NIA YENU MNATAKA UPINZANI WAANZISHE KAMPENI YA KUPINGA ILI NCHI ICHAFUKE?
KAMA HAUJUI KUNA KUFA BASI KACHUNGULIE KABURI.
HATUTAKI YA MAJIRANI ZETU YATUTOKEE.
NA KAMA MNAVYOJUA,WAZUNGU NA MAGHARIBI WANAPOONA MACHAFUKO NCHINI HAWASHINDWI KUTULETEA VYUMA TUUANE WENYEWE KWA WENYEWE.
HILI NI PEPO BAYA LINAHITAJI KUKEMEWA KWA NGUVU ZOTE.
N.B.mimi si mwandishi mzuri,ila naamini ujumbe umefika.
 
MBITIYAZA

JF-Expert Member
Jan 22, 2017
15,030
2,000
wanajipa matumain hewa ishu ya makinikia imewafanya wawe wehu na huku hakuna negotions zozozte zilizokubaliwa had sasa sijui yanatangatanga yanataka nini haya majitu! niliwapongeza' twaweza'kitu kimoja walisema ccm inapendwa na maskini na wasiosoma! yanakera sana ! nalaumu upinzani kwakweli kuliangalia hili na kumute
 
mjingamimi

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
27,998
2,000
Miaka mia michache sana. Aendelee hadi Mungu atakapomchukua.
Kumbuka gaddafi kilichomkuta.
Na mazuri yote aliyofanya.AMELIPWA NINI NA WANANCHI WAKE?SISI TUTAKUBALI AONGOZE MIAKA 100.SAWA.
KUMBUKA KUNA VIZAZI BAADA YA SISI.TUTAONDOKA.
MUNGU SI ATHUMAN KAMPA UMRI MREFU KAMA MUGABE.UNAFIKIRI HAWA WATOTO ZET WATAKUJA KUMKUBALI MAGUFULI?
 
MWALLA

JF-Expert Member
Dec 12, 2006
15,834
2,000
Hivi sasa rais wa TANZANIA.anaonekana ameingia kwenye mtihani mkubwa.wa kutamanishwa madaraka.sijui hawa watu wana agenda gani.mtu hata miaka 5 hajamaliza mmamtabiria apewe miaka 100.wakati kila mtu anajua.vipindi vya kuongoza ni miaka mitano.alaf uchaguzi.
Akishinda anapewa mingine mitano ya MWISHO.
NYIE HYO 100 MMEITOA WAPI?
NIA YENU MNATAKA UPINZANI WAANZISHE KAMPENI YA KUPINGA ILI NCHI ICHAFUKE?
KAMA HAUJUI KUNA KUFA BASI KACHUNGULIE KABURI.
HATUTAKI YA MAJIRANI ZETU YATUTOKEE.
NA KAMA MNAVYOJUA,WAZUNGU NA MAGHARIBI WANAPOONA MACHAFUKO NCHINI HAWASHINDWI KUTULETEA VYUMA TUUANE WENYEWE KWA WENYEWE.
HILI NI PEPO BAYA LINAHITAJI KUKEMEWA KWA NGUVU ZOTE.
N.B.mimi si mwandishi mzuri,ila naamini ujumbe umefika.
5d305905b23bf9bf7143e790b391f2b5.jpg

Amependedha anameremeta
 
Sumu

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
6,898
2,000
Kumbuka gaddafi kilichomkuta.
Na mazuri yote aliyofanya.AMELIPWA NINI NA WANANCHI WAKE?SISI TUTAKUBALI AONGOZE MIAKA 100.SAWA.
KUMBUKA KUNA VIZAZI BAADA YA SISI.TUTAONDOKA.
MUNGU SI ATHUMAN KAMPA UMRI MREFU KAMA MUGABE.UNAFIKIRI HAWA WATOTO ZET WATAKUJA KUMKUBALI MAGUFULI?

Gaddafi hakuwa na baraka za wananchi wote.

Rais wetu anazo baraka zote. Ni mafisadi pekee na wale waliokuwa wananufaika na ufisadi ndo wanaomchukia Rais wetu. Hawa ni wachache sana kulinganisha na sisi raia wema.

Aendelee hadi pumzi yake ya mwisho.
 
mjingamimi

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
27,998
2,000
Gaddafi hakuwa na baraka za wananchi wote.

Rais wetu anazo baraka zote. Ni mafisadi pekee na wale waliokuwa wananufaika na ufisadi ndo wanaomchukia Rais wetu. Hawa ni wachache sana kulinganisha na sisi raia wema.

Aendelee hadi pumzi yake ya mwisho.
Acha uongo bhas
Mnataka aje aondolewe kama mbwa?kati ya gadaf na magufuli nani aliyefanya mengi mazuri?
 
bs group

JF-Expert Member
Apr 28, 2017
819
500
wanajipa matumain hewa ishu ya makinikia imewafanya wawe wehu na huku hakuna negotions zozozte zilizokubaliwa had sasa sijui yanatangatanga yanataka nini haya majitu! niliwapongeza' twaweza'kitu kimoja walisema ccm inapendwa na maskini na wasiosoma! yanakera sana ! nalaumu upinzani kwakweli kuliangalia hili na kumute
wanatemea kuna noah mpaka sasa
 
Sibonike

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
16,991
2,000
Hakuna anayetaka hayo.

Hizo ni mbinu zake na Bashite wake. Kwa hili sema hajitakii mema yeye mwenyewe. Yalishatokea siku za nyuma hata Mwl. Nyerere akiwa hai. Alikemea vikali jitihada za kubadili katiba ili kukidhi tamaa binafsi za watawala wetu.

Kinachoendelea sinema tu ya kupumbaza watu.

Haitatokea. Ukiisha muda wake itabidi akae pembeni ampishe mwingine
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom