R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,575
Barua JPM; Tuliofikwa na Masahibu ya vyeti; Tupo radhi kufanya kazi kwa kima cha chini Cha msahahra 140,000/= kigezo kiwe EXPRIENCE
Shikamoo JPM
Ndugu Mheshimiwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tunakiri kosa ; Na mtoto akinyea Mkono adhabu sio kuukata.
Sisi tumekuwa tunajenga nchi hii kama waajiliwa; wengine suala la vyeti limesababishwa na wazazi ; kwani tulikuwa vijana wadogo sana miaka hiyo.
Tunaomba mheshimiwa utu demote kwa kutupatia mshahara wa kimacha chini kiasi cha shilingi 140,000 kama kujitolea ; na tupo radhi kugawanya kwa madaraja ya kima cha chini; Ila tunaomba utuondolee kigezo cha ELIMU; ila utumie kigezo cha EXPERIENCE. Watu wenye uzoefu tuwe na experience.
Imefanyika kipindi cha Kikwete kupitia walimu wa VODA FASTA kwa kuwapatia LESENI ZA MIAKA 5.
Kipindi cha Nyerere Elimu ya UPE kwa walimu.
EXPERIENCE ;
faida kwa Nchi
1. Wafanyakazi tuna uzoefu , ni wazi unayosoma shuleni matumizi yake ni madogo sana katika kazi. Tuna uzoefu wa kazi na si Elimu kwa kuwa tumefanya kazi na wenye elimu.
2. Utakuwa umeokoa pesa nyingi n za nchi hii kutoka madaraja yetu ya zamani mpaka daraja la chini kabisa.
3. Serikali ya watu wachache inafanya kazi vizuri; ukizingatia ICT inachukua nafasi za kazi. wahanga tupo tayari kufanya kama CASUAL LABOUR;
4. Kumbuka makusanyo ni 1.3 Tillion lakini mishahara ni 800 Billioni . Mi naona suala la kutangaza nafasi bado litakuwa hujatatua .Tunatakiwa kusave ; kwa kima cha chini tutaokoa bilioni 300.
TUNAOMBA HURUMA YAKO;
WAANGA