Rais Magufuli una ujasiri jukwaani tu

Mwandishi huyu amejikita kuelezea mapungufu tu na ameonjaonja tu mazuri ya rais

Angekuwa mzalendo na mkweli angeeleza pia mazuri kwa kina ambayo rais amefanya
Ameonyesha ushabiki zaidi. Kwa vile ni mwandishi wa habari angebalance habari
Zaidi nilichokiona kwenye andiko hili ni kuhusu bunge live pamoja na mikutano ya upinzani
Kuhusu kujitegemea nadhani ni mtu mzima mwenye familia je angefurahi kuishi kwa msaada kwake
Pamoja na kuwa nchi yetu ni maskini rais anatupa fikra ya kujitegemea na ameonyesha kwa dhati kwa kubana matumizi lakini kwa vile fikra zetu zimevurugwa ufisadi ni part and parcel of our life this is majority thinking
Je mtu wa kijiji asie na nafasi ya kufisadi ataendeleaje????
 
Hapo hakujaegemea sehemu yoyote ni barua ya moja kwa moja..
 
Kukosolewa ni moja ya kujifunza
 
Hapo hakujaegemea sehemu yoyote ni barua ya moja kwa moja..
Changamoto za sukari ni za muda, inaonekana wewe bado bwana mdogo, nchi hii imeshapitia kwenye upungufu mwingi wa bidhaa miaka ya nyuma. Ila viwanda vinahitaji uwekezaji mzito sio suala la kulala na kuamka halafu nchi ikawa imejaa viwanda kama anavyodhani yule mchungaji Msigwa.
 
Wacha kujifariji kwa namna ya ajabu hivi unawezaje kufuta vibali vya kuagiza sukari ilehali ujajua viwanda vilivyopo vinakidhi? Mwendokasi huo
 
Wacha kujifariji kwa namna ya ajabu hivi unawezaje kufuta vibali vya kuagiza sukari ilehali ujajua viwanda vilivyopo vinakidhi? Mwendokasi huo
Unashida kichwani si kawaida IQ
Unaletewa sukari zilizokaribia kuisha muda wake
Wafanyabiashara wanakwepa ushuru
Viwanda vya Ndani vinashindwa kuzalisha sababu ya sukari cheap with near to expire wewe hilo hulioni acha ushabiki au posttraumatic disorder baada ya kupigwa chini ubunge?
 
Mkumbuke hata Mbowe hataki kushauliwa anachosema yeye hataki kipingwe huu ni udhaifu wa viongozi wetu.
 
Tfda na tbs walikua wanafanya nini ndaa wote ni sukari yote ilikua mbaya? Yale mashamba morogoro ya miwa niyanani.... Tafakari then chukua hatua
 
Wacha kujifariji kwa namna ya ajabu hivi unawezaje kufuta vibali vya kuagiza sukari ilehali ujajua viwanda vilivyopo vinakidhi? Mwendokasi huo
Mgombea wenu angekuwa na kazi kubwa sana ya kuwaridhisha maelfu kwa maelfu ya watu aliowaahidi neema ikiwa angefanikiwa kuingia Ikulu.
Magufuli aliwaambia wafanyabiashara ikiwa yupo kati yao aliyemuingiza madarakani basi na anyooshe kidole juu, hakuna aliyethubutu. Hivyo kazi anayoifanya rais kwa sasa ni mapambano dhidi ya watu ambao ikiwa EL angeingia Ikulu basi wangetesa wananchi wengi na cha moto tungekiona. Wenye kuyafahamu mambo kwa undani wala hatujifariji, kwa sababu tunaufahamu ugumu wa vita aliyotangaza JPM dhidi ya mafisadi wakubwa na wadogo.
 
Aliwauliza kabla au baada ya Uraisi kupata? Hao watu ambao wangetesa wengine wa El ni nani?
 
Bila shaka huyu jamaa takuwa ni wa LUMUMBA kati ya wale wanazi..

Writer wa hii THREAD yuko deep sana zaid ya ivo VI COMMENT vyako[emoji40]

Hutaki kusikia ukweli... Unakimbilia lugha nyepesi na za mtaani.... Hoja zimekwisha sasa mmekalia ubishi tu ili mradi mpo mpo ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…