Ndo maana wamewaachia mjitangazie ushindi nyie kipenzi cha watu sasa mbona Rais wenu anawatishia tena wakuu wa mikoa?Sababu ni kuwa wananchi wamewachoka wapinzani kwa kuwa ni waongo sana kwa kuwa sasa wanatetea mafisadi wakati walikuwa wanawapinga hapo awali.
Sababu ni kuwa wananchi wamewachoka wapinzani kwa kuwa ni waongo sana kwa kuwa sasa wanatetea mafisadi wakati walikuwa wanawapinga hapo awali.
mnaepuka aibu ya kipigo.
watachakaa..Muroto toa kipigo cha mbwa koko kwa wasiojiandikisha kupiga kura
Hata wananchi hatutaki upinzani feki...jpm endelea kukanyaga sisi watanznia tutawamalizia zaidi kama tunavyowamalizia sasa.Mungu amejibu maombi yako, na haja ya moyo wako, ni nani asiyejua kuwa wewe hutaki kabisa upinzani Tanzania?
Hujifichi kuonyesha chuki yako hadharani dhidi ya upinzani.
Naomba nikuulize Tafadhali mheshimiwa Rais, Kama nitakukosea nisamehe bure .
Risasi alizomiminiwa Tundu Lissu na watu wanaoitwa "wasiojulikana ". ingekuwa risasi hizo kwa mfano kamiminiwa mkuu wa mkoa au waziri yoyote, hao wahalifu wangekuwa hawajapatikana?
Tuna makovu ya mateso mengi, kuwa mpinzani hapa Tanzania ni kuchagua kifo, bado tunamwomboleza mawazo, Ben Saanane, Kanguye, Azori Gwanda na wengine wengi.
Mheshimiwa Rais, hatutaki kupiga kura ili tukipishe chama chako kitawale milele Kama wewe unavyotaka sasa wakuu wa mikoa na wilaya watatufanyaje?
Tumeamua kupumzika ili nyie mnaopendwa sana muendelee kupendwa na kutawala milele, ajabu tena imekuwa kero.
Na 2020 pia hatutapiga kura, tuache tupumzike, Tafadhali Tumechoka.
Wana CCM wapo wengi watapiga kura na kujipatia ushindi mnono.
Tumeshajua hata tukipiga kura hatushindi kwa sababu CCM huwa inashinda hata kabla ya kupiga kura sasa tunapiga kura za nini?
Tuache tupumzike.
huyu ataliwa na simba wa bugiriAnatuona mazuzu sana lakini yote yana mwisho. Hakuna mtawala aliyekuwa katili kama Jean Baptise Bhokasa. Wapinzani wake aliwakamata na kuwalisha mamba wake.
Leo tunamsoma kwenye vitabu tu. Amepumzika anaposahili.
Mlibisha weee sasa mmekaaa.....operation tokomeza upinzani feki.Jpm umefanikiwa kuuwa vyama Pinzani(CHADEMA,CUF,ACT) lakini bila kujua umetengeneza mpinzani mmoja anaeitwa UMMA WA WATANZANIA.
Wanaokusifu wana acces na media ila wanakukosoa wanatafuta timing tu
Ukienda wewe inatosha, siwez nikashiriki maigizo ya hawa walioshiba mpk wakavimbiwa.Wameongeza siku mkajiandikishe
0Hili nalo litapita tu
Wameongeza siku mkajiandikishe
Muroto toa kipigo cha mbwa koko kwa wasiojiandikisha kupiga kura
Ni kweli kabisa upo sahihi bwana mkubwaSababu ni kuwa wananchi wamewachoka wapinzani kwa kuwa ni waongo sana kwa kuwa sasa wanatetea mafisadi wakati walikuwa wanawapinga hapo awali.