Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Hivi karibuni tumeona ongezeko la wizi wa kutumia pikipiki na kugharimu maisha ya watu kadhaa hapa Nchini. Jana watu kadhaa wameuwawa kotokana na wizi huu. Ushauri wangu ni kwamba Idadi ya watanzania imekuwa kubwa sana na ulinzi wa jeshi la police umeelemewa, Hatuwezi kutegemea taarifa za wananchi wema, katika tukio la sumbawanga lianonyesha mfumo wa police na usalama umeingiliwa na wahalifu, Nashauri kila sehemu nyeti kuwepo na full time security ambao hawapo katika mfumo wa police(namaanisha usalama wa taifa) Tukizembea na kutegemea wananchi kufichua wahalifu itakuwa ngumu sana maana hawa watu kwasasa inaonesha wanapesa na wanauwezo wakununu majumba au makanisa na kujificha humo, Tusipo kuwa makini badala yake tutalilea hili group la watu amabalo linaonekana kama ni group ambalo lipo organized na litakuwa Group kubwa la kihalifu kama magroup ya Mexico na kulighalimu taifa pakubwa kabisa kiuchumi, Mimi naamini kuna kichaka cha kihalifu sehemu aidha police,Mskitini,Makanisani ama mashuleni, mabaa, madisco na Mahotel ambalo linajipanga na kutikisa kila kona ya majiji makubwa, . Naomba Rais alingalie hili kwa ustawi wa taifa letu, sisi hapa si watu wa kudumu Duniani ila tukizembea kama akina bunuasi tuatachia hiki kizazi majanga mazito kabisa. kila kitu si ujambazi kuna ugaidi pia wanatafuta pesa kutekeleza ugaidi pia.
Kwa leo ni hayo tu
Kwa leo ni hayo tu