Hiyo benki ilifilisika kwa hiyo ipo chini ya uangalizi wa BOT, labda na nyie mpo chini ya uangalizi huo mpaka benki itakapojikwamuaWatumishi wananyanyaswa hovyo tayari watu 16 wamesimamishwa kazi bila sababu za msingi. Wanatuhumiwa bila kuelezwa tuhuma zao ni zipi. Unawezaje kutuhumu mtu juu juu tu bila ya kutaja msingi wa tuhuma au kosa lake ni Nini.
Rais Magufuli ingilia kati suala hili na ikibainika watumishi wanaonewa, hatua za kinidhamu zichukuliwe haraka kwa uongozi wa benki husika.
Hatuwezi kukubali mtu mmoja anapewe dhamana ya kusimamia rasilimali ya nchi halafu aanze kuonea watu kwa maslahi binafsi.
Hapa Kazi tu.
Wapigaji wamesha filisi benki sasa wanaleta nyenyenye..Tatizo vijana mnataka mafanikio ya haraka haraka halafu mnaleta visingizio. Subirini uchunguzi ufanyike ndio utabaini ukweli...na sio kelele kwenye jamii forum
Wewe ni mtumwa kifkraFuta kwanza hiyo slogan yako ndio nikupe ushauri
Pamoja na kumtaka rais aingilie kati nafikiri pia kunaa hatua za kuchukua, nafikiri ni vizuri kama unaona kuna mambo ambayo yanafanyika kinyume na taratibu za kazi na ajira jambo hilo mngeliwasilisha kwenye vitengo mbalimbali vya kiutetezi, ni vizuri kumtafuta mwanasheria mbobezi na kueleza malalamiko yenu ili awashauri na haki ipatikane, kutokana na watu wengi kutojua hatua za kuchukuwa viongozi wengi wamekuwa wakiwaumiza na kuwaonea wafanyakazi. Mfanyakazi akijua haki zake na kuamua kuzidai huwa zitachelewa tu kupatikana lakini haki ya mtu haipotei. Sina shaka na wepesi wa rais kutatua ishu kama hizo, ila kwangu mimi huko ni kupoteza muda. Kwa namna ilivyokaa rais anaweza asielewe uzito wa matatizo yenu, ila ukimburuza huyo kiongozi kwenye taasisi mbalimbali za utetezi wa wanyonge kama tume ya Haki za binadamu nk. hilo litakuwa fundisho kubwa kwa viongozi wote wanaokiuka haki na wajibu.Watumishi wananyanyaswa hovyo tayari watu 16 wamesimamishwa kazi bila sababu za msingi. Wanatuhumiwa bila kuelezwa tuhuma zao ni zipi. Unawezaje kutuhumu mtu juu juu tu bila ya kutaja msingi wa tuhuma au kosa lake ni Nini.
Rais Magufuli ingilia kati suala hili na ikibainika watumishi wanaonewa, hatua za kinidhamu zichukuliwe haraka kwa uongozi wa benki husika.
Hatuwezi kukubali mtu mmoja anapewe dhamana ya kusimamia rasilimali ya nchi halafu aanze kuonea watu kwa maslahi binafsi.
Hapa Kazi tu.
Mahakama zipo na ndio chomboo kikatiba kimeidhinishwa juu ya utoaji haki au hamna wakili ?? tuwasaidieWatumishi wananyanyaswa hovyo tayari watu 16 wamesimamishwa kazi bila sababu za msingi. Wanatuhumiwa bila kuelezwa tuhuma zao ni zipi. Unawezaje kutuhumu mtu juu juu tu bila ya kutaja msingi wa tuhuma au kosa lake ni Nini.
Rais Magufuli ingilia kati suala hili na ikibainika watumishi wanaonewa, hatua za kinidhamu zichukuliwe haraka kwa uongozi wa benki husika.
Hatuwezi kukubali mtu mmoja anapewe dhamana ya kusimamia rasilimali ya nchi halafu aanze kuonea watu kwa maslahi binafsi.
Hapa Kazi tu.
Watumishi wananyanyaswa hovyo tayari watu 16 wamesimamishwa kazi bila sababu za msingi. Wanatuhumiwa bila kuelezwa tuhuma zao ni zipi. Unawezaje kutuhumu mtu juu juu tu bila ya kutaja msingi wa tuhuma au kosa lake ni Nini.