Rais Magufuli okoa wilaya ya Itilima

konyola

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
3,527
5,538
Kwa heshima kubwa ninakusalimu na nakupa pole kwa kazi ngumu ulionayo, Mh.Rais kuna mfanyabiashara ameifanya hii halmashauri shamba la bibi kwa miaka mingi na hakuna kiongozi aliyewahi thubutu kumdhibiti, huyu bwana ameshindikana, ana mizizi mirefu sana laikini naamini haijafika hapo Ikulu.
Huyu bwana amewachoma sindano ya ganzi viongozi wengi sana maeneo haya ndo maana hata magari yake yakikamatwa kwa kutorosha mazao bila kulipa ushuru yaani utakaelikamata utapata taabu sana na utapigiwa simu na boss wako mara moja kwamba liachiwe na utapata maonyo ya kutosha, nakuomba Mh. Rais fuatilia hili kwa namna unayojua ili halmashauri iweze kukusanya mapato yake.
 
Anaitwa nani huyo mfanyabiashara! Na yuko maeneo gani?, amewakamata kwa kitu gani hao viongozi wa serikali! Na viongozi hao ni akina nani? Na ni lini huo mchezo umeanza?.

Tofauti na hapo utakuwa uchonganishi au umbea chonganishi.

Toa taarifa kamili mzee baba ( facts) tu .
 
Mpaka wewe na Id feki bado unaogopa kumtaja na kuainisha makosa yake yote...kweli Wabongo hatutoweza kuleta mabadiliko nchini,kwenyekura kunawatu wengi wakiiona sura yajeipiiemu watatetemeka wanakumbuka ili hiiiii... nakumtilia tiki yawoga japo maisha yamewashinda wengine wamekimbia watoto shwain kabisa...ndomana kimataifa MF afcon tunaburura mkia ukisikia Senegal unajamba mchicha jingasana
 
Ipo hapahapa Tanzania au Rwanda!!
Hako kawilaya kako huko maporini simiyu ndugu inapakana na mbuga ya Serengeti na game reserve ya maswa ila kwakweli huyu sii RAIA analalamika ni wale watendaji ambao hupenda kutishia RAIA kwa cheo chake huyo anayemtaja mfanya biashara ni MTU muhimu sana itimila
 
Bora wakageuze kawe game reserve tu
 
Taja jina la huyo bwana na anafanya biashara gani ikiwezekana anakaa mitaa gani hapo itilima wale watu wasiojulikana tuanze vikao vyetu tumfanye agenda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom