Rais Magufuli ni 'Special Offer', Tuitumie vizuri

Nipanic kwa lipi Bome~e.
Sehemu kama Tanesco ni kichaka hatari, hivi umesahau ile services fixed cost iliyofutwa na JPM ndio.ilikuwa inarudishwa kiaina.

Mi hayo sijasema,nimesema wanaotumbuliwa wanaendelea kula full salary!Hata Mafuru bado analamba salary
 
namkubali lkn huku chini wana m fool waziri Mkuu anakurupuka ana command anapaniki anakariri ana sahau ana gubu ana chongo mwl ahamieje Karibu na shule? umemjengea nyumba? una house allowance????

Magufuli Safi lkn mh!!!!
 
JPM kafuta watumishi hewa 20,000 hutoi asante badala unaonea huruma hawa wezi na kuwatetea.

Hahahahahahahaha
Kituo.cha haki za mkoa flani
Anachofanya ni kazi ya bure anatoa DAS ambao ni watumishi wa serikali, anaingiza makada kuwa DAS ambao wengine hawakuwa kwenye ajira za serikali (ushahidi upo), aliowatoa wanakula mshahara kama kawaida, na makada aliowaingiza ambao baadhi hawakuwa watumishi wa serikali wanakula mshahara kama kawa halafu anawadanganya nyie buku 7 eti anabana matumizi! Mungu wangu kumbe kuna zumbukuku wengi pale lumumba
 
We ni mke Njaa, inanipa tabu kuona dume(kama ni me kweli) linasifia na kupigia makofi kila linalosemwa na dume mwenzie.
Ina maana hata kama njaa atapumzika na mkeo bado kwako atakuwa level nyingine! ..mbavu kabisa

Mayala.nina.wasiwasi na kale kaposho TCRA kama bado kapo au kameshapigwa chini
 
Hivi unafikiri kuna upinzani tena????
Na hapa asilaumiwe JPM wapinzani wamejiua wenyewe walipoamua kujivisha bomu la kujitoa mhanga 2015.

Yaani kwa kuwa Magu ndie anayekemea ufisadi, ataendelea kupeta mara mia.
Kaka nadhani hujanielewa. Mimi siushabikii ufisadi.
Alafu pili sishabikii watu wanavyoamishwa kuwa kila anayeenda tofauti na mh basi ndiye mharibifu. Mm natamani kuona nchi yangu ikiendeshwa kwa misingi ya katiba na sheria. Yaani asiwepo wa kumuonea mwenzake
 
Kaka nadhani hujanielewa. Mimi siushabikii ufisadi.
Alafu pili sishabikii watu wanavyoamishwa kuwa kila anayeenda tofauti na mh basi ndiye mharibifu. Mm natamani kuona nchi yangu ikiendeshwa kwa misingi ya katiba na sheria. Yaani asiwepo wa kumuonea mwenzake

Ktk mazingira haya ambayo.bado hiyo system haijasimama vizuri, we need to rely somewhere. Na sehemu pekee ni pale watanzania wengi walipachagua 'full stop''

Kwa kuwa tunaimani naye ya nini kuwa na mawaa
 
Heshima kwenu wadau.

Mimi siyo kama Mayala, yeye anaona sarafu upande mmoja tu. Wakati mwingine anachanganya na illusions halafu ana-conclude.

Pamoja na yote hayo, kwangu mie naona Mhe. JPM ni Special Offer, Moyo wangu uliruka kwa furaha tangu alipofunga ile penalty huru walipounawa mpira ndani ya penalty box.

Wakati Mayala anataka kuona ''system'' inafanya kazi, anasahau kuwa kukabidhi ''system mtu contaminated'' hutoboi, wataicheat system.

Kwa hiyo anachokifanya bandika bandua huku kila anayeingia usipofuata hiki unatumbuliwa ndio hasaa tunachotaka.

System inalelewa au inaperform better kama behaviour nayo imechange. Kuenenda na huo mfumo, sasa cha kwanza ni behaviour. JPM aPige chini Kadiri iwezekanavyo huku tabia ikibadirika.

Wangapi tumeamua kupaki gari zetu baada ya mwendo kasi bhana? Mbona tumezoea, lakini tumesave bei gani za mafuta daily kwenda posta mpya?

JPM ni Special Offer ambayo kama siyo yeye, naamini hapa tungeshuhudia visasi flani alipukuwa anakula flani angetolewa akawekwa flani ale. Na tusingeskia haya madudu ya Bonus million 60.

Huu ndio wakati wasiotaka kufanya kazi Catalina na kusaga meno. Hakuna misiontown tena, mfuga ng'ombe wa.maziwa mbutu (kigamboni) anaheshimika sana.

Mkulima was Korosho Mtwara kamuulize Magu ni nani?

Ukifikiria nchi ilipokuwa imefika, halafu unakutana akili ya ndg yangu Mayala. Naona live inazekana kaisoma namba.

Viva JPM
Kwa wenye hekima tunamuona kama curse kwa taifa, naye analijua hilo ndio maana analialia kuombewa
 
Upo sahihi sana na hili wengi hawalielewi! ....System inaongozwa na watu, sasa kama watu hao tabia hazina afya ni vigumu kufikia malengo tarajiwa!

Kinachofanyika sasa ni kurudisha watu kwenye misingi kwanza!
Wewe na mleta mada mnionyeshe kwanza sayari ambako wanatolewa wenye "tabia zenye afya" kuja kujaza nafasi za wale wenye "tabia zisizo na afya" mnaowatumbua! Inaonekana wananchi sasa tumechoka kiasi kwamba hata uwezo wa kufikiri nao umetoweshwa kiurahisi! Huwezi kusema mnarudisha watu kwenye misingi kwanza ilhali hata misingi yenyewe ya kurejesha watu kwenye misingi mnaiobomoa! Kama mnapuuza utu wa watu mtadaije kuwa mnatibu tabia za watu? Huo ni uongo wa mchana kweupe!
 
mtoa post hizi ni porojo huyu mtu ambaye anawahadaa vijana kwenye ajira na kutoa uongo livee unaniambia spesho offer, waziri mkuu alidanganya sukari itashuka bei mwezi wa ramadhani lakini mpaka leo hakuna jipya unaniambia spesho offer huyu mtu ambaye anawanyima mikopo wanafunzi tofauti na ahadi yake bado unaniambia ni spesho offer shule na hospitali zina upungufu wa walimu na madaktari huyu mtu anang'ang'ania kununua mindege huku waziri wake wa afya akidai ana uwezo wa kuajiri madokta 400 tu kati ya 1800 ambapo yeye jpm anakuambia pesa zipo , mikopo anaongeza tozo tofauti mikataba iliyoingiwa na wanufaikaji, mtaani hakusomeki. mkuu hiyo spesho offa baki nayo mi hapana.
Airport je?
 
Watu kama ninyi.ndio.ninaowataka niwape somo.
Lile tukio.ni.natural disaster, limeletwa na Mungu maana hatuna description nyingine ya kuelezea. Limepiga mkoa mzima.

Serikali imeona ni vema mahosptali,mashule,barabara nk zikarabatiwe kwanza ili huduma muhimu.wary wapate, ulivokuwa na akili za kichagadema unawaza upewe hela tu.
Michango iliyoombwa na kukusanywa kwa ajili ya wahanga, walipwe. Hatukuchangia hayo ya miundo mbinu ambalo ni jukumu la serikali na budget yake ipo.
 
Ktk mazingira haya ambayo.bado hiyo system haijasimama vizuri, we need to rely somewhere. Na sehemu pekee ni pale watanzania wengi walipachagua 'full stop''

Kwa kuwa tunaimani naye ya nini kuwa na mawaa
Unatetea kusigina katiba, sheria za nchi? Katiba aliyooapa kuilinda nawe ukishuhudia na kushangilia?
 
Ktk mazingira haya ambayo.bado hiyo system haijasimama vizuri, we need to rely somewhere. Na sehemu pekee ni pale watanzania wengi walipachagua 'full stop''

Kwa kuwa tunaimani naye ya nini kuwa na mawaa
Unazungumzia kuhusu kuchaguliwa!!!!! Like seriously?????? Utakua unatania. Kwani hao mnaosema wametufikisha hapa si mliwachagua nao na mkawaamini????
Hapa hatuzungumzii uchaguzi au kuchaguliwa. Tunazungumzia mikakati ya kututoa hapa tulipo kufika mbele. Hatuwezi kuendeshwa kwa hisia za mtu mmoja. Yaani wengine wasizungumze hata kama ni wataalamu. Kamwe hatutafika. Watatulisha maneno matamu na matumaini lakini hatutatoka hapa tulipo
 
Back
Top Bottom