spencer
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 3,599
- 3,223
Heshima kwenu wadau.
Mimi siyo kama Mayala, yeye anaona sarafu upande mmoja tu. Wakati mwingine anachanganya na illusions halafu ana-conclude.
Pamoja na yote hayo, kwangu mie naona Mhe. JPM ni Special Offer, Moyo wangu uliruka kwa furaha tangu alipofunga ile penalty huru walipounawa mpira ndani ya penalty box.
Wakati Mayala anataka kuona ''system'' inafanya kazi, anasahau kuwa kukabidhi ''system mtu contaminated'' hutoboi, wataicheat system.
Kwa hiyo anachokifanya bandika bandua huku kila anayeingia usipofuata hiki unatumbuliwa ndio hasaa tunachotaka.
System inalelewa au inaperform better kama behaviour nayo imechange. Kuenenda na huo mfumo, sasa cha kwanza ni behaviour. JPM aPige chini Kadiri iwezekanavyo huku tabia ikibadirika.
Wangapi tumeamua kupaki gari zetu baada ya mwendo kasi bhana? Mbona tumezoea, lakini tumesave bei gani za mafuta daily kwenda posta mpya?
JPM ni Special Offer ambayo kama siyo yeye, naamini hapa tungeshuhudia visasi flani alipukuwa anakula flani angetolewa akawekwa flani ale. Na tusingeskia haya madudu ya Bonus million 60.
Huu ndio wakati wasiotaka kufanya kazi Catalina na kusaga meno. Hakuna misiontown tena, mfuga ng'ombe wa.maziwa mbutu (kigamboni) anaheshimika sana.
Mkulima was Korosho Mtwara kamuulize Magu ni nani?
Ukifikiria nchi ilipokuwa imefika, halafu unakutana akili ya ndg yangu Mayala. Naona live inazekana kaisoma namba.
Viva JPM