utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
Kumbe ni Shujaa wako Binafsi na Mumeo...Sababu kubwa ni hili la maamuzi ya kishujaa, maamuzi ya kujenga na ya kupigiwa mfano. Alianza kwa kutimua wanafunzi wasio na sifa UDOM sasa amekuja na la kuondoa serikalini watumishi wasio na sifa kwa kughushi vyeti vya Elimu. Kimsingi wale wote waliokumbwa na hilo wameihujumu nchi kwa kipindi kirefu na walistahili wawe jela hivi sasa. Magu yeye amewahurumia sana. Wajitafakari na watanzania nao wawatafakari na wamuunge mkono rais kwa hatua hii muhimu ya kujenga nidhamu na uaminifu kwa taifa. Hakuna nchi iliyoendelea kwa kuongozwa na mambumbumbu. Hawa ndio waliokuwa wanafanyia wagonjwa oparesheni ya kichwa badala ya mguu. goo Magu. Goo
Sababu kubwa ni hili la maamuzi ya kishujaa, maamuzi ya kujenga na ya kupigiwa mfano. Alianza kwa kutimua wanafunzi wasio na sifa UDOM sasa amekuja na la kuondoa serikalini watumishi wasio na sifa kwa kughushi vyeti vya Elimu. Kimsingi wale wote waliokumbwa na hilo wameihujumu nchi kwa kipindi kirefu na walistahili wawe jela hivi sasa. Magu yeye amewahurumia sana. Wajitafakari na watanzania nao wawatafakari na wamuunge mkono rais kwa hatua hii muhimu ya kujenga nidhamu na uaminifu kwa taifa. Hakuna nchi iliyoendelea kwa kuongozwa na mambumbumbu. Hawa ndio waliokuwa wanafanyia wagonjwa oparesheni ya kichwa badala ya mguu. goo Magu. Goo
Kwenye vyeti fake hata mimi jana nimegonga chears na kurukaruka. du wacha waende na magaka yao shule inauma bwanauna uhakika wale vijana wa udom hawakua na sifa? alikowapeleka wanasoma kwa sifa gani? hili jukwaa sio la great thinkers tena ni la ..........!! wewe endelea kumshangilia siku akikufika ndo utajua!!
Labda mungu wa chatoMagufuli ni chaguo la Mungu.
Vipi bashite wa kolomije nae,Kimberly ni mbumbummbuSababu kubwa ni hili la maamuzi ya kishujaa, maamuzi ya kujenga na ya kupigiwa mfano. Alianza kwa kutimua wanafunzi wasio na sifa UDOM sasa amekuja na la kuondoa serikalini watumishi wasio na sifa kwa kughushi vyeti vya Elimu. Kimsingi wale wote waliokumbwa na hilo wameihujumu nchi kwa kipindi kirefu na walistahili wawe jela hivi sasa. Magu yeye amewahurumia sana. Wajitafakari na watanzania nao wawatafakari na wamuunge mkono rais kwa hatua hii muhimu ya kujenga nidhamu na uaminifu kwa taifa. Hakuna nchi iliyoendelea kwa kuongozwa na mambumbumbu. Hawa ndio waliokuwa wanafanyia wagonjwa oparesheni ya kichwa badala ya mguu. goo Magu. Goo
Teh teh teh tehMagufuli ni chaguo la Mungu.
Nchi imechoka,bado miaka mitatu,sijui itakuwaje.Sababu kubwa ni hili la maamuzi ya kishujaa, maamuzi ya kujenga na ya kupigiwa mfano. Alianza kwa kutimua wanafunzi wasio na sifa UDOM sasa amekuja na la kuondoa serikalini watumishi wasio na sifa kwa kughushi vyeti vya Elimu. Kimsingi wale wote waliokumbwa na hilo wameihujumu nchi kwa kipindi kirefu na walistahili wawe jela hivi sasa. Magu yeye amewahurumia sana. Wajitafakari na watanzania nao wawatafakari na wamuunge mkono rais kwa hatua hii muhimu ya kujenga nidhamu na uaminifu kwa taifa. Hakuna nchi iliyoendelea kwa kuongozwa na mambumbumbu. Hawa ndio waliokuwa wanafanyia wagonjwa oparesheni ya kichwa badala ya mguu. goo Magu. Goo