wew ni me or KeRaisi Magufuli Yuko Vizuri sana.
Hana udhaifu wowote. Mambo mengi ni ya kutengeneza. Sasa mtu akijiua wewe unaushahidi kua sababu ni raisi. Ulimpima.akili yake kujua kama.ni mzima au la? Usijali sana mambo madogomadogo.
Tazama ile big picture. Watanzania wanamuelewa vizuri sana.mheshimiwa Raisi. Kuhusu ajira, amekupa fursa kajiajiri mwenyewe. Huyu ndiye Rais bora zaidi duniani. Anasema Ukweli hata kama haupendi kuusikia..amung'unyi maneni. Huyu ni mcha Mungu kabisa.
Achagua kuwa baridi au moto siyo analalamika halafu anasifiaUnataka nini sasa?
Maana unalalamika halafu unasifia tena unalalamika halafu unasifia.
No one is perfect!!....Raisi Magufuli Yuko Vizuri sana.
Hana udhaifu wowote. Mambo mengi ni ya kutengeneza. Sasa mtu akijiua wewe unaushahidi kua sababu ni raisi. Ulimpima.akili yake kujua kama.ni mzima au la? Usijali sana mambo madogomadogo.
Tazama ile big picture. Watanzania wanamuelewa vizuri sana.mheshimiwa Raisi. Kuhusu ajira, amekupa fursa kajiajiri mwenyewe. Huyu ndiye Rais bora zaidi duniani. Anasema Ukweli hata kama haupendi kuusikia..amung'unyi maneni. Huyu ni mcha Mungu kabisa.
ni kweli mkuu uhalisia sasa hivi sio wote wanaopinga muelekeo ni wapinzani hapana hata wengine tusio na itikadi ya vyama vyovyote wala kadi tunaopenda ustawi mzuri wa nchi yetu tunasema piaTumshauri mkuu pia mazingira mabaya aliyopandikiza kwa maelekezo,Baraka zake kwa siasa za hovyo Tanzania, ndio leo KUB na wengine wana kesi lukuki,vifungo ,kupotea,mateso na vifo.CDM INA wafuasi wangapi!? Watanzania na wana ccm wangapi wanafurahia upuuzi huu kuharibu umoja na ustawi wa taifa letu!?
Mkono wa amani ni suluhu kubwa kuliko jeshi na vifaru.
Si kulaumu mkuu lkn hapo ndipo uwezo wa kuchambua mambo ulipofikiaRaisi Magufuli Yuko Vizuri sana.
Hana udhaifu wowote. Mambo mengi ni ya kutengeneza. Sasa mtu akijiua wewe unaushahidi kua sababu ni raisi. Ulimpima.akili yake kujua kama.ni mzima au la? Usijali sana mambo madogomadogo.
Tazama ile big picture. Watanzania wanamuelewa vizuri sana.mheshimiwa Raisi. Kuhusu ajira, amekupa fursa kajiajiri mwenyewe. Huyu ndiye Rais bora zaidi duniani. Anasema Ukweli hata kama haupendi kuusikia..amung'unyi maneni. Huyu ni mcha Mungu kabisa.
Mku issue ya ajira ni tatizo la kidunia nzima. Nenda hata America au Ulaya watu wamesoma wana masters kazi yakuajiriwa hakuna. Inabidi tu tukubali kwamba wote wanaomaliza University na vyuo mbalimbali serikali haiwezi kuwapa wote ajira.Solution ni kubuni ajira yoyote ya kuingiza kipato hata kama ni kilimo matunda n.ksilalamiki mkuu kwenye mema lazima nizungumze na mabaya niyataje vilevile sababu mimi sio mpinzani mkereketwa ila ni kundi la tulipata mwangaza wa elimu na kuchambua mambo
Tuna Raisi mpu..uzi tuRaisi Magufuli Yuko Vizuri sana.
Hana udhaifu wowote. Mambo mengi ni ya kutengeneza. Sasa mtu akijiua wewe unaushahidi kua sababu ni raisi. Ulimpima.akili yake kujua kama.ni mzima au la? Usijali sana mambo madogomadogo.
Tazama ile big picture. Watanzania wanamuelewa vizuri sana.mheshimiwa Raisi. Kuhusu ajira, amekupa fursa kajiajiri mwenyewe. Huyu ndiye Rais bora zaidi duniani. Anasema Ukweli hata kama haupendi kuusikia..amung'unyi maneni. Huyu ni mcha Mungu kabisa.
Mkuu ukienda kwenye Takwimu za Dunia. Tuko izuri duniani. Na Kwa Africa Mashariki pekee sisi ndio Bora zaidi. Sisi ni namba moja kwa Utawala bora. Sisi ndio taifa ambalo demokrasia tunaongoza.Tumshauri mkuu pia mazingira mabaya aliyopandikiza kwa maelekezo,Baraka zake kwa siasa za hovyo Tanzania, ndio leo KUB na wengine wana kesi lukuki,vifungo ,kupotea,mateso na vifo.CDM INA wafuasi wangapi!? Watanzania na wana ccm wangapi wanafurahia upuuzi huu kuharibu umoja na ustawi wa taifa letu!?
Mkono wa amani ni suluhu kubwa kuliko jeshi na vifaru.
Kamwe si wasikilizi wapinzani nina ufahamu wangu wakupembua masuala mbalimbali hivi hatuoni mabambikio ya kodiiMkuu ukienda kwenye Takwimu za Dunia. Tuko izuri duniani. Na Kwa Africa Mashariki pekee sisi ndio Bora zaidi. Sisi ni namba moja kwa Utawala bora. Sisi ndio taifa ambalo demokrasia tunaongoza.
Tena tumezizidi nchi kama Israel, Saudia nk.
Sasa hao wapinzani waliokosa Dola ukiwasikiliza utapotea bure.
Pia mazingira ya Biashara tupo vizuri Africa mashariki. Hakuna nchi inayotuzidi. Tafuta Takwimu.
World Economic Forum, World Bank na taasisi nyingine.
Cc Pearce
No research No right To speak.
Demokrasia how wakati Saudi ni nchi ya kifalme [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Mkuu ukienda kwenye Takwimu za Dunia. Tuko izuri duniani. Na Kwa Africa Mashariki pekee sisi ndio Bora zaidi. Sisi ni namba moja kwa Utawala bora. Sisi ndio taifa ambalo demokrasia tunaongoza.
Tena tumezizidi nchi kama Israel, Saudia nk.
Sasa hao wapinzani waliokosa Dola ukiwasikiliza utapotea bure.
Pia mazingira ya Biashara tupo vizuri Africa mashariki. Hakuna nchi inayotuzidi. Tafuta Takwimu.
World Economic Forum, World Bank na taasisi nyingine.
Cc Pearce
No research No right To speak.
Kamwe si wasikilizi wapinzani nina ufahamu wangu wakupembua masuala mbalimbali hivi hatuoni mabambikio ya kodii
hivi hatuoni matatizo ya ajira
hivi hatuoni watu wengine kwa kuwa na itikadi tofauti wanafanywa maadui wa taifa na kwa masuala tunayoyaona kila siku
kuna fact you can just use ur common sense hutakiwi kwenda kufuata makablasha tu
Ni kweli Raisi ana puuza Vitu vingi sana hasa visivyo maana. Hatujawahi kua na raisi wa aina hii.Tuna Raisi mpu..uzi tu