Rais Magufuli ndiyo baba lao Afrika Mashariki, ona picha!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Katika picha za maraisi hao, picha ya Magufuli wetu ndiyo KUBWA kuliko zote na pia iko kati kati, maana yake ni kwamba Raisi wetu ndiyo Baba lao ...

New501.jpg
 
Ki protokali mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika mashariki picha yake inakaa katika kati ya wakuu wenzake wa nchi nyingine za jumuiya.

Wenyekiti ukiisha akamkabidhi mwingine picha yake inahamishwa na kukaa mabili huko.
 
Katika picha za maraisi hao, picha ya Magufuli wetu ndiyo kubwa kuliko zote na pia iko kati kati, maana yake ni kwamba Raisi wetu ndiyo Baba lao ...

New501.jpg

Ha haaa haaa!.. kwa hiyo hao wa pembeni kina uhuru ni kama wasaidizi wake?
 
Ki protokali mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika mashariki picha yake inakaa katika kati ya wakuu wenzake wa nchi nyingine za jumuiya.

Wenyekiti ukiisha akamkabidhi mwingine picha yake inahamishwa na kukaa mabili huko.

Umesahau moja, siyo tu imekaa kati kati bali ya Magufuli wetu ndiyo KUBWA kuliko zote!
 
Kwa hyo picha yake kuwa katikati ndo bei ya sukari itashuka?? Hizi sifa nyingine sio sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom