Rais magufuli na waziri wa utalii hii habari hamuioni

SON OF THE LAND

JF-Expert Member
Oct 7, 2015
204
210
wapendwa viongozi wangu kuna hii habari imekua ikitembea sana ikiongelewa na marekan na uingereza concerning abuse na kupata tenda ya uwindaji kimagumashi au rushwa hizi company mbili moja ya falme za kiarabu nafikiri hii ililetwa na kikweta ambayo inaitwa GREEN MILE ni sheikh Abdullah bin butti Al hamed wa Abu dhab hii ni campany ambayo 2014 ilikamatwa iki abuse wanyama ikapigiwa kelele kwa aibu serikal ikaifutia kibali cha kushangaza tena 2016 imekuja kupewa kibali cha kuwindia na kuendeleza ile dhana yake ya kuabuse wanyama na ku discourage conservation kwa kuwapa rushwa watendaji

na nyingine ni hii ya FREIDKIN CONSERVATION hii ni company ikiendeshwa na raia wa MAREKANI na inasemekana huyo bwana ndio bingwa wa corruption eastafrica na kati na amekamata sana uongozi unaotoa vitalu vya kuwinda kiasi kwamba hakuna mtu anamwambia kitu sasa na hizo kazi zimepatikana kimagumashi sana kiasi cha kuchafua serikal yako ambayo sasa hivi imekua ikionekana kama mfano wa kuigwa kufukuzana na rushwa sasa mh rais usiache hivi vijitu viwili vikuharibie reputation yako please kama umeweza ku deal na akino NKONO ADVOCATES naamini hawa ni kitu kidogo takukuru wapitie upewaji wa vitaru then backgroud check itasaidia ili tusiharibu utajiri wetu ambao MUNGU kaweza kutupa na ndio chanzo cha kweli pekee cha asili kinachotupa kula watanzania, maana hivyo vingine zimekua story tu gas, gold and the rest ni uwongo hatujaona contribution yake kwa taifa hili.

nawakilisha.Leaked Videos Of Wildlife Abuse Spark Corruption Scandal In Tanzania
 
Muache maraika wetu yuko busy na wanaomtuka na wachochezi uko atakuja baada ya miezi 3 kuweni wavumilivu serikali ya maraika imeliona hilo makofi tafadhali pa pa pa pa pa ndiyooooooo
 
Back
Top Bottom