Rais Magufuli na Libya

Tumeshaanza kupoteana Hanna vision wala nini vitisho tu
 
Acha hzo man unajua maana ya udkiteta magu Ana udkiteta gan DJ MBOWE ndo angeitwa dikteta nazan lingemfaa
 
Tanzania kwenye demokrasia tumerudi miaka 50 huko nyuma ==Jenerali Ulimwengu.
Watu wengi wanashindwa kuelewa kwa nini "MTUKUFU" anapenda kutoa mifano yake kupitia Libya ukweli kwamba unaweza kuwapa wananchi wako kila kitu lakini ukagandamizwa demokrasia wakakuona hufai japokuwa unawapatia kila kitu.Huwezi kufafanisha utawala wa Gaddafi na utawala wa "MTUKUFU" .
 

Haya ngoja tuendelee kusubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…