Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,850
Rais amesema wapo wanaosema niingilie swala la Zanzibar wanasahau tume zote duniani ni huru na aziingiliwi na mtu yoyote.
Rais amesema kwa hili la Zanzibar nitaendelea kukaa kimya na vyombo vya usalama vipo kwa wote watakao taka kuhatarisha amani,Amesema iwe dodoma,Dar,Pemba n.k. Watashughulikiwa.
Kwa msimamo huu ni wazi swala la Zanzibar limebaki kwa wazanzibari wenyewe.