Rais Magufuli kutembelea China

Lissu ndiyo habari ya mjini kwa sasa !!
Mjini Ufipa.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 

Narudia tena, Western are by far superior compared by Chinese. Take it or leave it.
 
Kwamba akienda huko thamani ya dola vs shillingi itashuka sio?
Ungejua vigezo vya kuthaminisha fedha kwa fedha tofauti, usingeuliza swali hilo.

Jifikirishe kwanza badala ya kuandika ukiwa na hitimisho lako kichwani mwako, ili wasomaji wafaidike na mchango wa mawazo kupanua wigo wa majadiliano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjini Ufipa.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.

Ukimtoa mtu Chato ukimleta hapo ufipa anaweza hisi yupo NewYork.
 
Itabidi adungwe sindano ya usingizi masaa mawili kabla ya ndege kuruka ili akishtuka ajikute yuko Airport China anafunguliwa mlango. La sivyo betri itazima
 
Hahab exim wa china sii aliwakataa akasema wanyonyaji haya najua hiyo ni kutembeza bakuli , akatoe bandari ya dar es salaam kama dhamana, tumeisha
 
Sasa wewe unaejua hivyo vigezo andika hivyo vigezo, katika uhuru wa mawazo hauwezi kumpangia mtu kitu ambacho kwa mtazamo wako wewe unaona alipaswa kufanya au kutofanya hatuwezi wote tukawa na aina moja ya kufikiri...
 
Mjini Ufipa.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
bado nasubiri mwana Lumumba wa kujibu hoja za Lissu..dadadeki....

yule eti mwanasheria kidogo arushe ngumi...
 
β€œUnajua China ni rafiki wa kweli…kuna hatua ambazo amezichukua Rais Magufuli za kuwadhibiti wanyonyaji wa rasilimali zetu zimewakera wadau wa maendeleo kutoka Bara la Ulaya.

SIJUI KAMA NI KWELI... SIAMINI NA SITAKAA NIAMINI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimtakie safari njema, apande boing kama ya Ethiopia

Sent using Jamii Forums mobile app
Rais ana ndege yake au hujui ilo? pia kuna Boeing Dream liner 787-8 mwezi ujao mwishoni itaanza safari za china anaweza panda pia maana ile inapasua mpaka China bila kugusa ardhi yoyote tena. Tanzania hatuna Boeing 737 Max 8
 
Kwahiyo Taifa la china ambalo ni Tajiri kwa maana ya uchumi wake viongozi especially Rais anaongea kiingereza anapokuwa kwenye international stage? Acheni kuwa na mtazamo uliopitwa na wakati! English is just a linguistic language like other languages
Teh teh teh

Akikujibu nitag mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Every Tanzanian dream is to have a socialist economy in our country and that's what our President thinks of. Go! Go mr.President and open the socialist world for us
socialism? Only fools can agree with your old-fashioned belief! Socialism can't revamp us for sure!!😏😏😏
 
Bombadier hapana iyo iyo A220-300 maana bado ni mpya kama ile!!
Airbus A220 haina uwezo wa kruka mpaka China bila kutua mahala labda Boeing Dreamliner 787-8 inatoa direct
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…