mwakijembe
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 1,662
- 2,325
Hao wazungu mnaowaona kama vile ni watakatifu kila siku wanauana kwa kuchapana risasi mpaka wanaandamana kupinga silaha kuuzwa kama karanga mitaani.
Wapi kuna haki za binadamu mkuu,Marekani au Ulaya?Hamna lolote.Fuata link ifuatayo uone hali ilivyo Marekani.
Trump a Disaster for Human Rights in First Year
Mkuu kujua sana kiingilishi ndo kuwa na maarifa zaidi? Hizi mindset ni mzigo kwa TaifaAmeona aende maeneo yasiyo na ung'eng'e ili kuficha Uwezo wa ung'eng'e ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha nakojoaaaa
Wanajua huna tena pa kwenda.Western countries ni bora kuliko maelezo. Magufuli anawapenda wachina maana hawajali demokrasia. Hata ukiua nusu ya wananchi wako, wao wanajali maslahi yao. Asichofahamu Magufuli, wachina wakiona nchi za magharibi zimekutema na wao wanatumia huo mwanya kukuteketeza.
😂😂😂 Dah mnateseka mpaka mnatia huruma, yaani akikaa shida, akiunuka bigger problemsLi-MATONYA linajiandaa Kwenda China Bichwa Kubwa Limejaa Kiburi Tu.. haya sasa Kiko wapi?? DONNA KANTRE??
"kinacho Sura,Kina Kisogo"
Kwanini ateseke?Kama ambavyo akienda China hatalazimishwa kuzungumza kichina basi hata akienda Uingereza hatalazimishwa kuzungumza kiingereza. Jaribu kutumia akili!
Kawaulize Zambia"Marafiki wetu wa kweli." Mwisho wa kunukuu.
Huna akili weweAmeona aende maeneo yasiyo na ung'eng'e ili kuficha Uwezo wa ung'eng'e ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha nakojoaaaa
Bombadier hapana iyo iyo A220-300 maana bado ni mpya kama ile!!Mmm! Boeing 737 Max 8!Najua wazo lako na roho yako mbaya.Haendi na hiyo,anakwenda na ndege ya Rais, Dreamliner,Airbus A220-300 au Bombadier.
Akitoka huko apite kwa mke mkubwa wa CHINA Zimbabwe amsalimie.