Rais Magufuli kufanya ziara ya siku mbili nchini Rwanda, kutumia usafiri wa gari

MkamaP

JF-Expert Member
Jan 27, 2007
8,143
3,222
Magufuli rais wa Tanzania, inasemekana atakuwa Rwanda kwa Kagame.

IMG-20160405-WA0033.jpg

=============

Magufuli-and-Kagame.jpg

Tanzania President Dr. John Pombe Joseph Magufuli will tomorrow, April 6, visit Rwanda-his maiden regional visit.

KT Press
has established that President Magufuli, who has made global headlines for his rapid leadership changes in the East African nation, will be in Rwanda for a two-day working visit.

The visit will begin with his official opening of Rusumo one stop border post connecting the two countries, before holding a joint press conference with President Paul Kagame.

On his 2nd day, Magufuli will join Rwandans for the 22nd commemoration of the genocide against Tutsi on Thursday, April 7.

On the day when Rwandans mourn over 1 million Tutsi who perished during the genocide, Presidents Magufuli and Kagame along with the First Ladies, will lay a wreath and lighting the memorial flame.

Later on, they will join Rwandans in a
‘Walk To Remember’, before attending a night vigil at Amahoro National Stadium in the capital Kigali.

What does Magufuli’s presence mean to Rwanda?

Tanzania is one of Rwanda major trade partners and a close ally too. The port of Dar-es-Salaam is crucial for Rwanda’s trade routes, accounting for roughly 70% of all Rwandan international maritime trade. A healthy relationship must exist to maintain this economic partnership.

For example, the port handles 60% of Rwanda’s exports and imports, making it a key port in terms of handling Rwandan cargo.

Again, Rwanda regards Tanzania’s central corridor, which combines road and railway network, as an essential trade and transport route linking it with neighbouring Burundi, Uganda and the eastern part of Democratic Republic of Congo. This is a great assets for the two countries.

Socially, many Rwandans, particularly those where were boar there and others lived there, have for so many years regarded Tanzania as their second home.

President Kagame has expressed his admiration for the new Tanzania President, especially his immediate stance on corruption.

On Novemer 5 last year, Kagame flew to Tanzania’s capital Dar-Es-Saram to attend the swearing in ceremony of President Magufuli.

In just six months, President Magufuli has been reluctant to travel both abroad and inside Tanzania, since he was sworn in as the President.

He has so far been in Dar-es-Salaam Statehouse and only traveled to Arusha, Mwanza, Morogoro and Geita regions.

He has been assigning his Prime Minister Majaliwa Kasim to travel to other parts of the country in a move to solve various political and socio-economic problems.

His courtesy visit to Kigali sets a strong and positive precedence and also rings a resounding tone of cultivating a stronger bilateral relationship.

SOURCE: KT PRESS
CfSTrgUWwAA5L9A.jpg:large

Huu ni upuuzi, hata kama angeenda na gari. Kutoka Chato kwenda Kigali ni karibu kuliko kutoka chato Kwenda Singida. Na hapo mnataka tusifie! serikali ya misifa

Hujajisitukia tu? unajua nini maana ya habari? Tatizo lenu mmeshakuugua ugonjwa. Kama unataka utakavyo, basi kamshike huyo mwandishi mkono asiandike hiyo habari.
 
Huu ni upuuzi, hata kama angeenda na gari. Kutoka Chato kwenda Kigali ni karibu kuliko kutoka chato Kwenda Singida. Na hapo mnataka tusifie! serikali ya misifa
Something wrong in your stupid head or what?? Kwako wewe unatafasiri kila habari ni ya kusifiwa au kukashifu? Woud you have been happy kama mwenye thread ange andika amekwenda kwa Jumbo jet? Of course kila mtu anajua kutoka Chato hadi Kigali ni karibu and it makes sense kwenda kwa gari, IDIOT!
 
Soma sentenso yako, kila mtu atajua tu wewe ni mgonjwa. Wala haitaji mtu kwenda kusomea udaktari pale Muhimbili kugundua wewe ni mgonjwa, relax.
 
Something wrong in your stupid head or what?? Kwako wewe unatafasiri kila habari ni ya kusifiwa au kukashifu? Woud you have been happy kama mwenye thread ange andika amekwenda kwa Jumbo jet? Of course kila mtu anajua kutoka Chato hadi Kigali ni karibu and it makes sense kwenda kwa gari, IDIOT!
Huu ni upuuzi mwingine umeandika. Story hapa ni kwenda kwa gari, angetwambia kwenda Rwanda tu bila kutwambia ataenda kwa usafiri gani tusingehoji. Mmezoea kusifia kila kitu hata akipiga chafya mtatwambia fundi huyu. Hovyo kabisa mmetuchosha!
 
Nimekwambia wewe mgonjwa kichwani, Relax. ama kamshike mkono aliyeandika hiyo habari kama ugonjwa wako unakutuma hivyo.
 
Huu ni upuuzi mwingine umeandika. Story hapa ni kwenda kwa gari, angetwambia kwenda Rwanda tu bila kutwambia ataenda kwa usafiri gani tusingehoji. Mmezoea kusifia kila kitu hata akipiga chafya mtatwambia fundi huyu. Hovyo kabisa mmetuchosha!
Ok nadhani usingeponda kama taarifa hii ingemuhusu " mroho hasa"
 
Ikiwa kweli atakuwa amefanya jambo la maana sana maana msimamo wa Kagame na nchi yake dhidi ya Rushwa unaeleweka sana.

Magufuli anafanya kazi nzuri sana. kuwarudisha watu waliokuwa wameipa kisogo Tz si jambo dogo. Temeona amefanya hivyo kwa Museveni na sasa ni Kagame. Heshima na Biashara ya Tanzania kwa nchi hizo lazima irudi mahala pake.

Well done Mr Presdent..

BACK TANGANYIKA
 
Huu ni upuuzi mwingine umeandika. Story hapa ni kwenda kwa gari, angetwambia kwenda Rwanda tu bila kutwambia ataenda kwa usafiri gani tusingehoji. Mmezoea kusifia kila kitu hata akipiga chafya mtatwambia fundi huyu. Hovyo kabisa mmetuchosha!
Kwani ''what is so special about going to Rwanda by car?''Kama ana tatizo limfanyalo asisafirie ndege inakuwaje?Hivi ni lazima Rais asafiri kwa ndege?
 
Back
Top Bottom