Rais Magufuli kuanza ziara mkoani Iringa

Rais Magufuli kuanza ziara mkoani Iringa

Nelson Masaduki

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Posts
346
Reaction score
381
Rais John Magufuli aendelea kuwagusa Watanzania katika ziara anazofanya mikoani. Najiandaa kumsalimia akipita hapa Dumila, baada ya kutoka Iringa. Nimesikia leo anaanza ziara yake mkoani Iringa. Mungu umpe afya njema.
Rais Safarini.jpg
 
Naona katoka Ruvuma akaikwepa Mbeya kiaina akakunjia Njombe na sasa anashukia Iringa. Bila shaka baada ya hapo ataenda Moro hatimaye Pwani na kurudi Dar. Labda kwa nyie wa Mbeya itabidi mumsubiri Mei mosi japokuwa atakuwa bize kujitetea kwa kuwadidimiza wafanyakazi.
 
View attachment 1068256
Rais alikuwa Ruvuma kisha akaenda Njombe. Sasa ukitoka Njombe unaingia Iringa wewe unasema anapita Dumila. Wengi tunajua Dumila iko Morogoro jhiyo Dumila ni ya wapi zaidi ya ile ya Morogoro? Halafu unasema anatoka Iringa anakweda Iringa. Edit pst yako
 
Dumila ya Morogoro? Anapita hapo Dumila akitokea wapi na kuelekea wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejiuliza sana Hiyo Dumila ni ya wapi.

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
 
Jiwe Akitoka njombe anakuja iringa
Kuna mlevi mmoja anauliza vipi mbeya ziara lini?
Walevi wenzake wakamjibu kule mbeya si kuna Rais wenu mwambieni sasa afanye ziara yeye
Jiwe anafanya ziara mikoa isiyo na Rais kama mbeya mnarais wenu mtakula jeuri yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona katoka Ruvuma akaikwepa Mbeya kiaina akakunjia Njombe na sasa anashukia Iringa. Bila shaka baada ya hapo ataenda Moro hatimaye Pwani na kurudi Dar. Labda kwa nyie wa Mbeya itabidi mumsubiri Mei mosi japokuwa atakuwa bize kujitetea kwa kuwadidimiza wafanyakazi.
Mbeya, Songwe,Rukwa na Katavi...hii mikoa inamtia kichefuchefu sana ngosha.... Sababu kuu hii kanda alipata kura chache sana.
 
Back
Top Bottom