Rais Magufuli katika ubora wake, ahadi zimeanza kutekelezwa

sbikore

JF-Expert Member
Feb 13, 2015
535
191
Watu wanasafiri nje ya nchi kila siku wakati watu wanakufa na kipindupindu?.Hakiamungu nikiwa rais mm.......

Ndani ya miezi 6 kipindupindu chaliiiii

Msongamano wa magari dar unalikosesha taifa mapato mengi sana....

Kabla ya miezi sita-magari ya mwendokasi tayari,ni uroda mtupu.

Nitahakikisha inajengwa mahakama maalum kwa mafisadi tu

Ndani ya miezi 3,12b ikatolewa kwa uendeshaji wa mahakama na 2.5b ndani ya miezi sita ujenzi wa mahakama.

Elimu bure drs la 1-12.
Ndani ya miezi miwili tu,sasa watoto wanasongamana madarasani.

Haiwezekani ww mkuu wa mkoa upo alafu watoto wanakaa chini darasani.
Speed ni ya mwendokasi na ni siku takrbani 20 tu zimesalia na kilio hicho kitabaki historia tu.

50M kila kijij kitapata...
Sasa tupo mkao wa kula tutaipokea.

Na mengine mengi ya kubana matumizi ya pesa kama:-
Safari za nje,warsha,makongamano pamoja na semina
Pia kuboresha mishahara ya watumishi na kuwapunguzia makato ya kodi.

Sii hayo tu lkn pia ametumbua majipu kwa kuonesha dhamira ya dhati ya kuichukia rushwa na ufisadi.Na kwahili hata maswahiba wake limewakuta,sina sbabu ya kutonesha makovu.Poleni yaliowakuta kwa namna moja au nyingine.

Huyu kama c mtume bac ni nabii,ni kiongozo wa kipekee kabisa ambaye kama cjakosea,haijawahi kutokea.Amejaribu kumkuna kila mtanzania mnyonge dhidi ya vilio vyetu japo wale majangir na maharamia wa rasilimali zetu wameumia.
Potelea mbali mzee yupo imara sana katika harakati za kulitetea taji la mbingu,hatetereki,hayumbishwi wala hakatishwi tamaa.

Wamemjaribu wengi na kwa mengi sana wakidhani misimamo italegea kumbe ndo kwanza ""akipigwa teke chura,anaongezewa mwendo""

-Mara oooh...jamaa ni dictator...
-Mara oooh...jamaa anabana demokrasia...
-Mara oooh...aliuza nyumba za serikali
-Mara oooh hashauriki...
-Mara oooh...ni nguvu ya soda...
-Mara oooh kajichukulia mamlaka kutumia pesa ya bunge kwa shughuli za maendeleo bila idhin ya bunge...
Ni mengi sana yamesemwa na mengine mtanikumbusha...lakin...
wanaishia kuisoma namba...
Na yote haya hayafanyi kwa kupiga ramli..lah hasha...kumbukeni sisi wenyewe wananchi wanyonge tulishtaki wakati anatuomba kura.

Na hata kwa watani zetu hizi ndo zilikuwa kiki zao za kila cku japo kwa sasa baada ya mzee kujitutumua sasa wao tena wanaanza vijembe.
Lakini binafsi huwa siwashangai maana waliotuhujumu cc na nchi nzima kwa wakati huo,sasa wako upande wao(majina mtajaza)sio kila kitu nimalize.Kumbe nimekubali sasa kwamba ukawa ndio ccm A bila shaka na ccm ndio ccm B bila shaka.Na kwa muktadha huo ni ccmB ya waadilifu inapambana dhidi ya ccmA ya wabadhirifu...
Wataisoma namba!!!
Kwa ujumla sasa hivi watani zetu wapo hoi,kila kunapokucha ni nafuu ya jana.Nahodha wa chombo yuko imara,mawimbi yanakipiga chombo lkn ndo hivo kinazidi kusonga kwa mwendo wa hatareee
Na kwa taarifa,abiria hao wanaotia dhoruba bahari nahodha atawamwaga rasmi kabla chombo hakijafika ufukwe 2020.

CCM hoyeeeeeeeeeeeeeeeee
Magufuli hoyeeeeeeeeeeeeee
Naomba kuwasilisha.
 
Una mwaandikoo mbaaayaaaa!!!!
 
Koda kwenye akaunti za M_pesa, Tigo_Pesa, Easy_Pesa, Halo_pesa, Airtel_Money nk anaua wananchi wake kwa upanga unaong'aaa!. Akumbuke vijijini watu wanatumianaga elfu 2 kwenye akaunti zao wakitarajia hiyo pesa matumizi yatatosheleza, sasa kama anaweka kodi za ajabu ajabu upande huo, siku zake zinahesabika!. Ataelekea makanisani na misikitini kutaka kodi za zile sadaka na makusanyo kanisani ambazo hawazipeleki benki wala M_pesa
 
Tatizo Upinzani Tanzania unaombea serikali iharibu ili wapate cha kuongea, michango yao mingi ni kwa maslahi ya vyama vyao sio Taifa.

Sasa ikipatikana serikali inayojali malengo yake ndio kama hivi watu wanabaki kulazimisha umaarufu wa kipuuzi.!
 
Watu wanasafiri nje ya nchi kila siku wakati watu wanakufa na kipindupindu?.Hakiamungu nikiwa rais mm.......

Ndani ya miezi 6 kipindupindu chaliiiii

Msongamano wa magari dar unalikosesha taifa mapato mengi sana....

Kabla ya miezi sita-magari ya mwendokasi tayari,ni uroda mtupu.

Nitahakikisha inajengwa mahakama maalum kwa mafisadi tu

Ndani ya miezi 3,12b ikatolewa kwa uendeshaji wa mahakama na 2.5b ndani ya miezi sita ujenzi wa mahakama.

Elimu bure drs la 1-12.
Ndani ya miezi miwili tu,sasa watoto wanasongamana madarasani.

Haiwezekani ww mkuu wa mkoa upo alafu watoto wanakaa chini darasani.
Speed ni ya mwendokasi na ni siku takrbani 20 tu zimesalia na kilio hicho kitabaki historia tu.

50M kila kijij kitapata...
Sasa tupo mkao wa kula tutaipokea.

Na mengine mengi ya kubana matumizi ya pesa kama:-
Safari za nje,warsha,makongamano pamoja na semina
Pia kuboresha mishahara ya watumishi na kuwapunguzia makato ya kodi.

Sii hayo tu lkn pia ametumbua majipu kwa kuonesha dhamira ya dhati ya kuichukia rushwa na ufisadi.Na kwahili hata maswahiba wake limewakuta,sina sbabu ya kutonesha makovu.Poleni yaliowakuta kwa namna moja au nyingine.

Huyu kama c mtume bac ni nabii,ni kiongozo wa kipekee kabisa ambaye kama cjakosea,haijawahi kutokea.Amejaribu kumkuna kila mtanzania mnyonge dhidi ya vilio vyetu japo wale majangir na maharamia wa rasilimali zetu wameumia.
Potelea mbali mzee yupo imara sana katika harakati za kulitetea taji la mbingu,hatetereki,hayumbishwi wala hakatishwi tamaa.

Wamemjaribu wengi na kwa mengi sana wakidhani misimamo italegea kumbe ndo kwanza ""akipigwa teke chura,anaongezewa mwendo""

-Mara oooh...jamaa ni dictator...
-Mara oooh...jamaa anabana demokrasia...
-Mara oooh...aliuza nyumba za serikali
-Mara oooh hashauriki...
-Mara oooh...ni nguvu ya soda...
-Mara oooh kajichukulia mamlaka kutumia pesa ya bunge kwa shughuli za maendeleo bila idhin ya bunge...
Ni mengi sana yamesemwa na mengine mtanikumbusha...lakin...
wanaishia kuisoma namba...
Na yote haya hayafanyi kwa kupiga ramli..lah hasha...kumbukeni sisi wenyewe wananchi wanyonge tulishtaki wakati anatuomba kura.

Na hata kwa watani zetu hizi ndo zilikuwa kiki zao za kila cku japo kwa sasa baada ya mzee kujitutumua sasa wao tena wanaanza vijembe.
Lakini binafsi huwa siwashangai maana waliotuhujumu cc na nchi nzima kwa wakati huo,sasa wako upande wao(majina mtajaza)sio kila kitu nimalize.Kumbe nimekubali sasa kwamba ukawa ndio ccm A bila shaka na ccm ndio ccm B bila shaka.Na kwa muktadha huo ni ccmB ya waadilifu inapambana dhidi ya ccmA ya wabadhirifu...
Wataisoma namba!!!
Kwa ujumla sasa hivi watani zetu wapo hoi,kila kunapokucha ni nafuu ya jana.Nahodha wa chombo yuko imara,mawimbi yanakipiga chombo lkn ndo hivo kinazidi kusonga kwa mwendo wa hatareee
Na kwa taarifa,abiria hao wanaotia dhoruba bahari nahodha atawamwaga rasmi kabla chombo hakijafika ufukwe 2020.

CCM hoyeeeeeeeeeeeeeeeee
Magufuli hoyeeeeeeeeeeeeee
Naomba kuwasilisha.
Umenena vyema ila hapo mwisho kuweka "CCM oyeeeeee" umekosea. CCM hii ilikuwepo kabla Magufuli hajaingia madarakani, je ilishindwaje kuhakikisha marais waliopita wanayafanya haya yanayofanywa kwa juhudi binafsi za ziada za Magufuli? Yawezekana humohumo ndani ya ccm wapo wanaodiriki kumpiga vita na kumkwamisha Magufuli. Jambo la msingi ni wananchi wote wapenda maendeleo bila kujali vyama tumuunge mkono Rais kwa kutekeleza yale tunayopaswa kutekeleza.
 
Back
Top Bottom