Tindu Lissu ndio ni mwanasheria mwenye haiba yenye mvuto. Wengine wanamwita mwanasheria nguri. kwa umaarufu alionao yeye pamoja na wenzake nilitarajia kabla hata ya uchaguzi kufanyika angefungua kesi katika Mahakama dhidi ya Tume ya Uchaguzi badala ya kulalamika kama raia wa kawaida. Iweje Mhe Mchungaji C.Mtikila pamoja na kutokuwa na background kama shahada ya sheria na limited resources aweze kufungua kesi nyingi za kikatiba kuliko Tundu...hapa nani mwanasheria sasa kati ya Tundu na Mtikila...Mtikila amethubutu hata kwenda katika Mahakama ya Afrika Mashariki with personal capacity....Tundu bado sana kukomaa