IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,745
- 7,103
Lissu atakua anajipigia tu bungeni yule AG garasa
Tindu Lissu ndio ni mwanasheria mwenye haiba yenye mvuto. Wengine wanamwita mwanasheria nguri. kwa umaarufu alionao yeye pamoja na wenzake nilitarajia kabla hata ya uchaguzi kufanyika angefungua kesi katika Mahakama dhidi ya Tume ya Uchaguzi badala ya kulalamika kama raia wa kawaida. Iweje Mhe Mchungaji C.Mtikila pamoja na kutokuwa na background kama shahada ya sheria na limited resources aweze kufungua kesi nyingi za kikatiba kuliko Tundu...hapa nani mwanasheria sasa kati ya Tundu na Mtikila...Mtikila amethubutu hata kwenda katika Mahakama ya Afrika Mashariki with personal capacity....Tundu bado sana kukomaa

yani kama AG atabaki yuleyule basi Magufuli amekosea sana, huyu jamaa yani hata kujieleza hajui bungeni alikuwa anajikanyagakanyaga tu kina Lissu waka-take advantage ya udhaifu wake...
Please Mr.President tubadilishie huyu mtu.
too early to judge just wait and see
nakumbuka mkuu. ngoja tuone baraza lake la mawaziri.too early kivipi mkuu we hukuona we hujawahi kumuona anavyojiumauma bungeni mpaka spika Makinda alionesha kabisa kutokuwa na matumaini naye
Ni mapema mno kutoa judgement kwamba kaanza vibaya au vizuri. Hata kocha au meneja akikabidhiwa timu anapofanya usajiri si lazima aondoe wachezaji wote. Huyo jamaa akionyesha udhaifu katika kusimamia majukumu yake anaweza kuwekwa benchi pia. Hapo ni bandika bandua.