Rais Magufuli kateua Mwanasheria mkuu

Rais Magufuli kateua Mwanasheria mkuu

sirparadek

Member
Joined
Nov 4, 2015
Posts
73
Reaction score
14
Nimesikia Rais kateua Mwanasheria mkuu kwa aliyesikia ni yule yule au in mwingine?
 
Na mimi nimesikia ndugu John mcheche Mshanju (sina uhakika)
 
Ali Serema,,,, Serema serema,Magufuli Serema haaaaaaaa.
 
Sio George mcheche masaju? Ni huyo huyo alokuwepo

Haaaa AG alikuwa nani vile? Masaju alikuwa nani b4?

Ndio huyo huyo Masaju
Alikuwa na cheo ikoiko baada ya mzee wa tumbili kuangushwa yeye ndie aliekuwa Attoney General.

Naona magufuli kaanza vibaya, huyu masaju alionesha udhaifu mkubwa bungeni katika sheria za makosa ya mitandao na gesi na mafuta, alipelekeshwa na akina Tundu Lissu na wote tunakumbuka aliwai admit mbele ya lissu baada ya ku hustle sana kuwa mimi si mtaalam sana wa ku draft sheria ila kwa kuhisi tu najua hapa umepatia au la! Ha ha

Magufuli kaanza na huyohuyo mteuliwa wa awali wa kikwete kwa nafasi iyoiyo. I can start sensing a dark future, same CCM we used to see.

Tusubiri!
 
yani kama AG atabaki yuleyule basi Magufuli amekosea sana, huyu jamaa yani hata kujieleza hajui bungeni alikuwa anajikanyagakanyaga tu kina Lissu waka-take advantage ya udhaifu wake...
Please Mr.President tubadilishie huyu mtu.
 
Kwa akili ya Mtz, huwazia mwenzaje mabaya tu. Na hawezi kumthamin mtu kwa uzuri hata kidogo.
Huyo mwanasheria angekuwa ni mbabe napo mngesema. Anapelekeshwa na amina Lissu napo mnasema. Mbona Lissu hajapata nafasi kama hiyo. So huyo ana ubora wake. Mwache afanye kazi. Madhaifu aliyonayo si ya kupenda. Kila mtu ana yake. Lakin ktk utendaji utakuta ni mzuri na ndo maana anapata cheo kama hicho.
 
Dah huyu jamaa naye bwana sasa ndo nini hiki...??
kweli mahakama ya mafisadi itakuepo
 
Nadhani amemuchukua kwa kuwa amekalibia kustaaf.hapo ndo atateua mtu makini
 
Uchochoro mweupe tena kwa T A Lissu! CCM ni ileile, ileile, ileile.
 
KAZI YAANZA: Rais Dk Magufuli ameitisha rasmi kikao cha kwanza cha Bunge la Jamhuri ya Muungano Novemba 17, Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefua asema leo, Dar.
 
Ni mapema mno kutoa judgement kwamba kaanza vibaya au vizuri. Hata kocha au meneja akikabidhiwa timu anapofanya usajiri si lazima aondoe wachezaji wote. Huyo jamaa akionyesha udhaifu katika kusimamia majukumu yake anaweza kuwekwa benchi pia. Hapo ni bandika bandua.
 
Ni mapema mno kutoa judgement kwamba kaanza vibaya au vizuri. Hata kocha au meneja akikabidhiwa timu anapofanya usajiri si lazima aondoe wachezaji wote. Huyo jamaa akionyesha udhaifu katika kusimamia majukumu yake anaweza kuwekwa benchi pia. Hapo ni bandika bandua.
Kwa gharama ya Mani mkuu?!:lock1:
 
Tindu Lissu ndio ni mwanasheria mwenye haiba yenye mvuto. Wengine wanamwita mwanasheria nguri. kwa umaarufu alionao yeye pamoja na wenzake nilitarajia kabla hata ya uchaguzi kufanyika angefungua kesi katika Mahakama dhidi ya Tume ya Uchaguzi badala ya kulalamika kama raia wa kawaida. Iweje Mhe Mchungaji C.Mtikila pamoja na kutokuwa na background kama shahada ya sheria na limited resources aweze kufungua kesi nyingi za kikatiba kuliko Tundu...hapa nani mwanasheria sasa kati ya Tundu na Mtikila...Mtikila amethubutu hata kwenda katika Mahakama ya Afrika Mashariki with personal capacity....Tundu bado sana kukomaa
 
Yuleyule hahahahaha Serema serema...nilitaka kushangaaa awatose washikaji aaaah ngumu.subirini washkaji kibao tu wanarudi ktk baraza la mawaziri..hawa jamaa lazma waibuke nawaziri...Mkuchika,Kawambwa,Shukuru majaliwa.lukuvi.ezekiel maige.makamba.mwakyembe.nchimbi.marando.mchemba.bulembo.muhongo.tibaijuka.tizeba.chenge.mkono.......utawaona hao kawaida tu kwa ccm.....
 
Sio George mcheche masaju? Ni huyo huyo alokuwepo


Hivi masaju si ndo yule kilaza aliekuwa anasaidiwa kuweka sawa miswada ya kisheria na kina tundu lissu?
I bet Petro Mselewa can make a good AG than this empty skul.
 
Back
Top Bottom