Rais Magufuli katembelea mikoa mingi sana, si mbaguzi kama wasemavyo

tanga hajaenda, iringa, mbeya, rukwa, katavi, yye kila kukicha mwanza , mwanza, mwanza
 
Walau wewe una takwimu
 
mbeya je kaenda lini
 
Hawezi kufika kila sehemu...
Asipokuja Mbeya wana CCM wataanza kampeni ya kutompa kura ili zile za Mwanza zimtoshe.
Polepole katuudhi juzi ati CCM Mbeya ina ukabila ndo maana Sugu anawaendesha puta.
Sababu za kijinga sana.
Na CHADEMA Mbeya wao wana kabila gani?
Umoja wao wanautoa wapi?
Rais Magufuli inaelekea anaendekeza kuinyanyapaa Mbeya kimaendeleo, hii si sawa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…