ujitambui mda wote anasubili nini mbona wengine hakusubili hata xmass ipite issue ni ukandaMagufuri nimfahamuyo mm ni yule mtenda haki. Pia ni mpenda haki. Magufuri hatomwacha yeyote mwenye cheo chochote ambaye amefoji cheti.
Shida niionaye hapa kuwa mada kubwa imekuwa Makonda. Watu wanataka wampangie rais kazi. Tena hoja ya Makonda inaendeshwa kichuki.
Swala hapa nikuweka usawae Katika taifa siyo kila kitu Makonda. Achilia mbali kauli ya waziri Kairuki Magufuri atatenda haki. Hoja ni kuwa haki itendeke. Kuna viongozi wengi wamefoji vyeti siyo Makonda pekee . Kwa nini kelele zote ni kwa Makonda
Mfano ni huu kuna watu zaidi ya elfu 20 ambao vyeti vyao vina utata lakini aliyekuwa anapigiwa kelele ni Makonda pekee.
Tuvute subira ili tupate heri. Rais ameamua kusimama mkono wa haki ili aitende. Rais atatenda haki. Natabiri ndani ya muda mfupi maagizo yatatolewa ya mwendelezo wa uhakiki hadi kwa wabunge na wakuu wa mikoa na hatimaye Mawaziri. Wote hao wanatumia pesa za serikali.
Rais wangu simama mkono wa haki ukaitende. Wapenda haki tuko nyuma yako.
Tunakuombea na kukutakia heri zote. Principe iko wazi kuwa mtu apandacho ndicho atakachovuna. Naunga mkono feki wote waondoke ili wenye haki yao waipate
Babu okotaokota wa ifakara.
Najitambua kukushinda wewe.ujitambui mda wote anasubili nini mbona wengine hakusubili hata xmass ipite issue ni ukanda
Hakuna sehemu waliomkana Makonda kuwa hakuwahi kuwa mwanafunzi. Kuna rafiki yangu wa Karibu alisoma na Makonda ushirika Moshi. Shida tunaongozwa na chuki pamoja na wivu.Sisiemu ndiko walikojaa n'a ndiyo wengi viongozi wa kila sekta !!
Unafikili kuwa ni rahisi kiivyo !!?
Hali ni tete, wewe waone tu wako kwenye v8, vx n'a Prado ukafikili kuwa wanavyeti, wengi sana ni vimeo n'a vihiyo wanaogopa ukaguzi kama ukoma.
Sasa, hoja yako ya RC iko wazi kuwa kote alikosoma mamlaka husika zimekataa kuwa hajawahi kuwa mwanafunzi wao.
Kwa kifupi, huo mjadala juu ya RC uliishafungwa, mfano, alipelekwa kwenye kamati ya nidhamu ya bunge je, ulisikia mrejesho wa hiyo kamati !
Hukuona, mbowe n'a mdee mrejesho ulikuja Kwa mbwembwe za ooooh ooooh, mbowe tumemsamehe, ila mdee ooooh ooooh, hatahudhulia vikao vya bunge vilivyobakia.
Nikushauli, kama una uwezo wa kupambanua mambo bora uendelee na michakato ya kujiletea maendeleo n'a kama wewe ni msitafu fatilia stahiki zako ule pension yako kwa amani.
Na kama ni mwanafunzi fanya home work zako.
Tanzania, is a home of double standards !!
Ni jembe kwa kuwa 'anakulima' wewe?Nimependa
Makonda ni jembe, wanamuogopa na kumuonea wivu.
Makonda oyeeeeee
Upinzani umekuwepo hata kabla ya Makonda hajazaliwa.Na bahati mbaya akimtoa makonda, upinzani utakufa rasmi maana sasa hivi hawana hoja zaidi ya kupata airtime kwa kushikia bango makonda na bashite.
Unafahamu kinachopigiwa kelele dhidi ya Makonda kuhusu cheti?Hakuna sehemu waliomkana Makonda kuwa hakuwahi kuwa mwanafunzi. Kuna rafiki yangu wa Karibu alisoma na Makonda ushirika Moshi. Shida tunaongozwa na chuki pamoja na wivu.
Hakuna sehemu waliomkana Makonda kuwa hakuwahi kuwa mwanafunzi. Kuna rafiki yangu wa Karibu alisoma na Makonda ushirika Moshi. Shida tunaongozwa na chuki pamoja na wivu.
Nimependa
Makonda ni jembe, wanamuogopa na kumuonea wivu.
Makonda oyeeeeee
Upinzani ulikuwepo kabla ya dj kufanya yake angani. Nafikiri umenielewa vizuri!Upinzani umekuwepo hata kabla ya Makonda hajazaliwa.