Rais Magufuli hajui kuna waliotekwa, wakarudishwa wakiwa mahakamani, wengine porini na wengine hawajawai kuonekana? Kazi ya vyombo vya dola ni ipi?

Kilichoongelewa ni kuzushia vyombo vya ulinzi uongo kwamba ndio wanaoteka na kuua watu bila ya kuwa na ushahidi! Kuzushia vyombo vya usalama uongo!
Msibadilishe - kuzushia vyombo vya ulinzi wetu uongo ndicho kinacho katazwa na mkiendelea mtapata cha mtema kuni.
Kuumizwa na waliotekwa na waliopotea na waliokufa hiyo rukhsa, hakuna aliyekukataza. Sote tunaumizwa na hilo - lakini kusingizia mtu au chombo chochote bila ya kuwa na ushahidi, na pia ushahidi huo bila ya kuuwasilisha kwenye vyombo vinavyo husika, basi ukikamatwa usimlaumu mtu. Umetaka mwenyewe. Muwe wepesi wa kuelewa kilichosemwa.
Ndugu nakushutumu wewe ndio mwizi wa kukuwangu, then unaniambia kuwa nilete kwako wewe wewe kesi ya kuibiwa kuku wangu?

Yani wananchi wanalalamika vyombo vya dola kuhusika na utekaji then wananchi hao hao wanatakiwa kupeleka ushahidi kwa vyombo hivyo hivyo vinavyoshutumiwa kwa utekaji. Hii equation inakuingia akilini kweli unaweza kuisolve bila kutoa character yoyote hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una ubia na Israel mtoa roho kwamba uhakika utakuwepo mpaka uzeeke?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes ,mpaka nizeeke .Kwani unashindwa kuongea na Mungu kuhusu Maisha yako.Mwombe uwepo mpaka uzeeke ukiwa na afya njema anakupa.Shida wanadamu tunafikiria Mungu ni mgumu sana sisi tu hatujui kumtumia tunaamini vitu vingine wakati yeye yupo jana leo na siku zote
 
Kwa ujumla nchi hii magufuli ndie anaewaongoza upinzani.

Maana sera zote kakamilisha na hata ilani ya chama chake ya ahadi za uchaguzi kamaliza.

Ila kilichobaki kwa sasa ni watu kukosa sera na hoja zaidi ya kuvizia hotuba na kauli za viongozi wa CCM.ili watafutie kick.

Mleta thread hii ukiwa mmojawapo.

JPM bado yupo tu na tunajiandaa kumkabidhi nchi hadi 2025 viva bulldozer!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kamaliza kweli?

Kama amesahau mkumbushe
1. Milioni 50 kila Kijiji
2. Computer mpakato kwa walimu wrote.
3. Nk
 
Uchaguzi 2020 ni mwepesi sana kwa mgombea wa wapinzani
1. Kurudisha Uhuru wa maoni
2. Kurudisha upendo na mshikamano
3. Kurudisha demokrasia
4. Kurudisha usalama,was RAIA
5. Kurudisha uchumi mikononi mwa watu
6 kurudisha uchumi was sekta binafsi
7 kuleta katiba mapya ya wariobs
8 kufuta mbio za mwenge
9 kupandisha wafanyakazi mishahara na madaraja
Upinzani watashinda asubuhi kukiwepo tume huru.
Mkuu kwa mwanaccm,ccm ni muhimu kuliko maisha yake na watoto wake,kwa police wetu na vyombo vingine, kazi zao na mishahara yao ni muhimu kuliko wazazi wao,ndugu zao na future yao so kwao kutii amri kwanza then mambo mengine baadae,so kwa aina ya watu Mungu aliyoipa Tanzania,hayo uliyoorodhesha kwao ni upuuzi unless kama yanafanywa na mtu mwingine ambaye si kada au kiongozi wa ccm
 
Back
Top Bottom