sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,098
- 8,727
Kuna uvumi kuwa eti hiki kiwanda cha sukari hapa Morogoro Ruaha umekipa leseni ya kutengeneza pombe kali. Je ni kweli?
Maana kuna konyagi kali kuliko zote inatengenezwa hapa, ila tetesi ni kuwa hawalipi kodi na inasemekana kuwa mkuu ukitaka usalama au TAKUKURU wako awe tajiri mtume aje achunguze hapo. Atakutana na fuko la pesa balaa na kujikuta anachunguza hewa.
Walahi kama kweli wewe ni Magufuli gufulika na hilo kwanza!