Hatari kubwa hii hivi Tumaini makene yupo wapi?!Wenzako wamefika leo na kesho wanapatiwa ulaji, wakati wewe unabakia unapiga miayooo hapo lumumba
In God we Trust
Ulaji huku hakuna, hapa ni kazi tu.Wenzako wamefika leo na kesho wanapatiwa ulaji, wakati wewe unabakia unapiga miayooo hapo lumumba
In God we Trust
Siasa ni kigeugeu..Hao jamaa wakati huo wamekua wasaliti wa wapga kura..wakati huo huo wamekua mtaji wa wa wengine...natabir huu usaliti iko siku wasaliti wa wananchi watakuja Anza kujibu...Dunia hadaa a hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Kalist na wenzake wajiandae kugombea labda wenyekiti wa serikali za mitaaHaya maisha haya! Mashinji leo anajipisha kuonwa na mfalme kwa unyenyekevu mkubwa! Kalisti sahau Hata udiwani Arusha tumia vizuri ulichopata.CCM hawatawapitisha kura za maoni
Sent using Jamii Forums mobile app